ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
- Thread starter
-
- #201
Hahahaaaaaaa! ILA MKE WA MTU MWENZENU KWENYE HIO TAASISI ATIIII!
Nitunge story kwa lipi hasaa manake humu maofisini wanandoa sifa zenu ziko waziiii hamna mpinzani, ni kuchukua tumfano mmoja mmoja! PROTECT YOUR OWN UWE HYPOCRITE MZURI, KILICHOCHAFUA TAASISI YA NDOA NI NYIE WANANDOA WENYEWEEEEEEE MSIJIKAUSHE!
wewe yako iko hivyo au yaleyale ya kusikia saloon
Hahahaaa THAT WILL BE COUPLE OF DECADES TO COME! On the mean time THE POLICY STANDS!
Ila ukome kushobokea watu usiotujua ukazani mkeo anaekuabudu unampa kunya bure apa mjini! Hihihihiiiiiiiiii! Utaumiaaa bro! Kwetu sis si mtu si mali kitu.
Hatujikaushi ni maisha tunayoishi nashangaa kwa nini ushuhuda wa mke wangu umefutwa kwenye uzi wangu.
Hahahaaaa! WANA ZUNGUKA MBUYUUUUU TU WAKICHOKA WANAANZA KUNI ATTACK ILA DOMO LINASIFIKA HUMU MMU LILIVO CHAFU NIKO STANDBY!
Hivi mtoto wa kiume unajisikiaje kukaa hapa kushindana na mademu na kuwatukana?
wala always UKWELI UNAUMA na kukubali ukweli wanashindwa ... waende kwenye ustawi wa jamii waona matatizo yaliyopo kule mengi ni kutokana na ndoa .... NDOA wasidanganyike si jambo la kukimbilia hata kidogo ni KUZIMU NDOGO
Wameonaa UNAPOTOSHA UMAA NA MFANO WA KUTUNGA KAMA ULE USIOKIDHI MATAKWA YA JAMII! Hahahaaaaaa! Toa mfano hai usookataliwa na saverza jf!
Hitimisho!
TUWE TU WA WAZI UOLEWE, USIOLEWE, MAISHA YOTE NI CHANGAMOTO! Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!
IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE!
huwezi jua maisha ya samaki mpaka uwe samaki
Okay mrembo SAJO, SHOSTIII LA UKWELI, KICHUNA CHA HAJAAAAAAA! Umefurahiii! Na lipstic nakupakaaa ungae vizuri weweee mtoto wa kiumeee!lara 1 mbona hutaki ukweli you look ugly mbona so simple
unaniambia wewe kama nani au nawewe unableed,mind yo business hoe
I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo
I dnt think tulioolewa huwa tunajichukulia na kuwachukulia ambao hawajaolewa the way unavyozani wewe, na sijui ni nini kimekupelekea ukazani tuko hivyo