ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
- Thread starter
-
- #181
Hahahaaaaa! HIVI HATA KWA KUTANIA NIMEWAHI KUSEMA NAPENDA MWANAUME KAMA WEWE? Hahahahaaaa! Unachekesha kweli!
MIE HATA NIPEWE BUREEEE SITAKI UNIOE! Hata niwekewe kisu shingoni SITAKI UNIOE!
So dude KEEP YOUR DISTANCE!
MDOMO MALI YANGU, NITAONGEA MPAKA MWISHO WA DAHARI!
Unahamu na keki eeeh.? Hahahaaaaa! Endelea!we si kipofu kwani unaonaga THINK BIG umesoma nini sasa aaaaaahg
Hahaaaaa! Mpaka wamenivika uibilisi utadhani mie KU POINT OUT THE OBVIOUS NDO NAWATIA WANANDOA ROHO HIZO ZA USHETANI!
Hahahaaa! KAMA NI HIVO NA WEWE USIBWABWAJE! Ukibwabwaja mimi nakuchamba wima wima vizuri tu kwani we nani labda.? Uliniita mwenyewe kwenye uzi wako!
Wengi wana makwao
Ila ni maisha tu yamewafanya hivyo.
JIBU LINATOKANA SWALI! Swali likitakaa kuchabwa unachabwa tu, ukiuliza kistaarabu unajibiwa kistaarabu, ukitaka tusi nakupa la kusindikizia ugali!
Hahaaaaa! Mpaka wamenivika uibilisi utadhani mie KU POINT OUT THE OBVIOUS NDO NAWATIA WANANDOA ROHO HIZO ZA USHETANI!
na mara nyingi wanawake wa aina yako huwa wana sura mbaya,umbo bovu, mashauz clasiic tu...na huwez kua una kazi ya maana mjini!!
Hahahaaaa! Umeona umsaidie nimempa za uso mpaka katulia!Hata yeye hajasema anataka kukuoa rudia andiko lake utaona ila anasema hapendi mwanamke anayeongea sana.
Wana yao;
Tena kwa michepuko wamezidi wao,
Tena kwa virusi wamezidi wao;
Wapite na zao huko wasituambukize hasira hapa
Yote yapo wazi tu, sijui wanakataa nini hapa.
Hahahaaaaaa! Kwa hio credibility ya anachosema inategemea kama kaolewa au la?
Unahamu na keki eeeh.? Hahahaaaaa! Endelea!
za wapi hizo au za jf ambazo watu wanajitungia story za uongo.
Cc Dinazarde, miss neddy gervous snowhite ATI SAJO WA JF KARUDI JAMANI TUMLISHE KEKI! Hahahaaaaaa,hapa sio sehemu ya kutoa siri za watu,maana umeshavujisha too late daaah
mwache aendelee kujivua nguo apa.....ata ndoa ya uzeeni anaipeperusha..tatizo kuna menopause ndio kimbembe...yaani wanawake wawage wapole tu.....mie at 50 naoa 24 graduate na nnazaaa....
Hahahaaaa! Umeona umsaidie nimempa za uso mpaka katulia!
KASEMA HAPENDI MWANAMKE ANAE ONGEA KAMA MIMI, JE NILIWAHI HATA MARA MOJA MIMI HUYO JAPO KUMTANIA NAPENDA FREE P KAMA YEYE?
Ndo jibu langu hilo!
ASIJISHONGONDOE SIPENDI MTU WA AINA FLANI YEYE KAAMBIWA HUYO MTU ANAMPENDA?
Rudi kwenye mada yako please, michambo yetu na mkono wa paka na mkewe HAIKUHUSUUUUUUU,! Kazania mada yako baba kabla hujachachua thread!
YA NGOSWE TUACHIE NGOSWE TULIVOANZANA NDO TUTAMALIZANA!
nah lete kiroba bamedi afu my dog needs a bit.ch to gegeda so utaenda bandani au utamchain uswazi geto kwako
Umeingia ndani ukajua?
Nawahi nafasi! Nimerudi!
YES MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION SIFUTI KAULI!
Naomba kujibu hoja zako kama ifuatavyo!
Kwanza ile kama fasihi simulizi yoyote inapokelewa tofauti tofauti na hadhira! Naomba nijibu mapokeo yako ya ile fasihi andishi nilioiweka jana. Kama fanani ni wajibu wangu kujibu querry sijui spelling nimemapatia manake watu watu wa grammar mnanikalia mnoo kooni siku hizi kama ifwatavo!
1. Kweli sijaolewa, na wala siwezi kudanganya niliolewa ama vipi, hapanaaaa! Ila ile ni observation yangu kama LAY MAN au THIRD PARTY tu ambayo ni HAKI YANGU YA KIKATIBA UKIZINGATIA WE HAVW BEEN A FREE COUNTRY SINCE 9 DECEMBER 1961. Na neno langu sio sheria ama presidential decree ni mtazamo tu binafsi.
2. Kweli nimetahadharisha si wanandoa tu, bali BINADAMU KWA UJUMLA WETU kuwa maisha ni safari ndefuu sanaaa, ukicheka leo kesho huenda unune nanikaenda mbali sanaa kuwaomba bin adaam MUMUOMBE MUNGU AWAFANYIE WEPESI MIZIGO YENU na sio kuhukumu watu wengine na kuwasulubisha msalabani!
3. All in all sijaona ulipo dhibitisha PASIPO SHAKA YOYOTE kuwa MARRIAGE IS NOT A HYPOCRITICAL INSTITUTION! The hypocrisy inakuwa pale MNAPOJADILI HII TAASIS HAMUWEKI KARATA ZOTE MEZANI, MNAJADILI MAZURII TUUUUUU! Sio uugwana huo! Sawa wekeni mazuri na vibaya pia mseme?
4. Tabia ya kuchuna hahahahaaaaaa! COUNTING MY SINS DOES NOT MAKE YOU A SAINT!
Hitimisho!
TUWE TU WA WAZI UOLEWE, USIOLEWE, MAISHA YOTE NI CHANGAMOTO! Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!
IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE!
za wapi hizo au za jf ambazo watu wanajitungia story za uongo.