Maji yanatoka mfululizo Dar, inashangaza sana

Maji yanatoka mfululizo Dar, inashangaza sana

Usishangae sifa akapewa Kubenea wakati mambo yakiharibika wanakana wanasema wao siyo serikali hawana mamlaka na nguvu fedha kuleta maendeleo sehemu zao! Baadhi ya wawakilishi kisiasia ni pasua kichwa.
====
Tunataka sasa kwenye majukwaa watamke wazi kuwa huduma hiyo imefanywa na serikali iliyoko madarakani.
Kubenea 2020 utakuwa uchaguzi mgumu sana kwake kama atagombea tena. Kumekuwa na malalamiko hafanyi kazi za jimboni kwake amepooza sana hasa maeneo ya huko Msewe na kuendelea.
 
magufuli ni mjumbe wa mungu..tumpeni ushirikiano
 
Back
Top Bottom