Maji yanatoka mfululizo Dar, inashangaza sana

Maji yanatoka mfululizo Dar, inashangaza sana

Tanzania mpya inamaana hii
Tumuunge mkono Rais wetu
 
Watu wanapongeza hata kitu tunacholipia kodi
Tukikuwa tunalipa kodi miaka yote lakini kupata huduma muhimu ilikuwa kama anasa mkuu. Leo umeme na maji vinapatikana kwa uhakika, lazima tuwapongeze hao waliopewa dhamana, back then waliopewa dhamana walishindwa kutoa huduma muhimu kabisa.
 
Ni zaidi ya wiki mbili na kama sijakosea itakua ya tatu kumetokea jambo ambalo ni la kustaajabisha kidogo katika jiji hili.

Hapa ninapokaa (Ubungo Msewe) hapo awali kuona maji yanatoka katika mabomba ilikuwa nadra sana. Sasa kila siku maji yanatoka tu, imenilazimu sana ninue shower bafuni.

Nauliza tu ni huku Ubungo pekee au ni Dar nzima? na nini kimetokea? hatujazoea mambo haya.

Kama hali ikiendelea hivi ajira za watu zitakuwa mashakani .
Hiyo ni kazi ya Magufuli mkuu.Wanaomkandia kila kukicha ni vema wakaona aibu na kumuogopa Mungu.Huku ninakoishi umeme ilikuwa hadithi mkuu,leo umeme ukikatika unarudi baada ya muda mfupi tu.Mashuleni dawa za maumivu na tumbo zipo.Huko nyuma jamaa walikuwa wanapiga tu.Jamaa huyu noma sana.Binafsi namkubali sana.
 
huyu magufuli huyuuuuu ana balaaa sana..

mi mwenyewe naishi ubungo shida ya majiii kaifutaaaaa fastaaaa

mnyika enzi zile anatupigania tupate maji mjomba magu kaja dawasco imefufuka maji muda wote yanatoka...
CDM matumbo moto.Wahame.
 
Kwetu yalikuwa yanatoka kila siku siku zote
 
Hongera

Huku kijijini kwangu mara ya mwisho kuona maji ilikuwa enzi zile za NUWA
Ni zaidi ya wiki mbili na kama sijakosea itakua ya tatu kumetokea jambo ambalo ni la kustaajabisha kidogo katika jiji hili.

Hapa ninapokaa (Ubungo Msewe) hapo awali kuona maji yanatoka katika mabomba ilikuwa nadra sana. Sasa kila siku maji yanatoka tu, imenilazimu sana ninue shower bafuni.

Nauliza tu ni huku Ubungo pekee au ni Dar nzima? na nini kimetokea? hatujazoea mambo haya.

Kama hali ikiendelea hivi ajira za watu zitakuwa mashakani .
 
In short mambo yanawezekana yakipata msimamizi mzuri. Kukosa huduma ni uzembe na mazoea ya wapuuzi wachache wanaowaambukiza wenzao wanaowafuatia...

Asante serikali mpya! Suala hili liwe endelevu na livizishwe mikoa mingine mpaka kwetu Marangu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom