Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,434
- 1,765
Kwenye somo la Chemistry Form 2 tulifundishwa moja ya sifa ya maji ni kuwa 'hayana ladha' ( tasteless).
Miaka ya karibuni kumeibuka kampuni nyingi za kutengeneza maji ya chupa.
Cha ajabu watu wamekuwa selective sana kuhusu aina ya maji wanayokunywa huku wengine wakikataa kununua maji aina nyingine zaidi ya brand walizozizoea.
Wengine husema maji haya si matamu.
Swali: Kama ndiyo hivi, kwanini tusiseme maji yana ladha?