Ladha kamili ya mapenzi ni ipi? Matamu, hayana ladha au machungu...

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari wanajamii forums hope mko poa sana.

Kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuhusu mapenzi yana ladha gani? Kiujumla nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja kuhusu mapenzi. MAPENZI NI MATAMU, MAPENZI NI MACHUNGU AU MAPENZI HAYANA LADHA. Wataalamu wa mambo ya mahusiano mtusaidie kuhusu hili ili tukijua ladha kamili ya mapenzi tujue wapi pakuanzia.

Wakuu nasubiria majibu yenu maana bado nipo dilemma.

Nawasilisha

1648816555282.png
 
Only true love can define the taste of love and its associated feelings
NB: don't confuse love and sex though sex is part n parcel of love
Mkuu ukishasema true love unamaanisha mapenzi ni matamu.................what is love????
 
Utamu wa mapenzi sio Ile ladha ya utamu wa chakula, mapenzi ni matamu lakin utamu ni adimu Sana
 
Utamu wa mapenzi, nyege zako TU.

Ila haiondoi UKWELI kwamba
wengine Ni watamu wakuzaliwa na wengine ni ufundi kitandani.
mfano mzuri mamaJ wangu
 
Back
Top Bottom