Hellena Goodluck
Member
- Sep 10, 2014
- 84
- 26
Ni kweli maji ni tasteless. Utamu au kutokuwa na utamu wa maji huwa inategemeana na Ph ya maji husika that's why watu tunachagua maji yanayotengenezwa viwandani.
Nyama ina ladha ya Nyama,
Ni sawa na kusema Chungwa lina ladha ya Chungwa.
Ladha ya maji inategemea na harufu yake :clap2:
chemka mbaya,,,harufu=ladha?????????????
by the way! do you know the ingredients? ie,sodium,fluoride,potassium,magnesium,manganese,,,,,,,,etc?=taste of water. But a pure water has no taste.
If no taste than no harufu.
Harufu is taste, taste is harufu.