Nö 1 swali zuri1. Kwanini maji ya ziwa hayakupwi Wala kujaa licha ya Dunia kuyumbayumba?
2. Kwanini maji ya bahari Dunia nzima yasijae upande ambao Dunia imelalia? Kuna mtu amesema kwamba maji yanapokupwa upande mmoja, jua kwingine yamejaa
Kulingana na Socrates, kuhoji au kuuliza ni kutaka kujua, swali zuri sana! Mimi jibu nililoambiwa shuleni ni mvutano kati ya mwezi na jua. Ila nami nipo kwenye Giza naomba nifafanuliwe kuhusu hilo. Hizo tides zimekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upepo.Nini kinachohamisha maji ya bahari kutoka point moja kwenda nyingine?
^will not change its STATE^Jibu ni 1st Newton's law of motion: " A body in motion remains in motion or a body at rest remains at rest unless acted upon by an external force" au kwa lugha nyepesi " An object will not change its motion unless an external force acted on it"
simple ni kwamba sayari yetu hii yaani dunia inajizungusha kwenye mhimili wake na pia iko kwenye mzunguko wa kulizunguka jua kama sayari nyingine zinavyofanya. sasa dunia inapojizungusha kwenye mhimili wake kuna wakati inaegama, hapo ndipo ujazo wa maji huhamia kule ilikoegamia na ikirudi kwenye usawa wake kulingana na upande ulipo maji hurudi kwenye ujazo wake. mzunguko huo ndio hutuletea usiku na mchana.Kwetu hakuna bahari, ila kuna ziwa kubwa sana. Mara ya kwanza kufika mikoa ya Pwani nilishanga sana kuona bahari ikiwa kavu na maji yake yameondoka.
Ndipo nilipoikumbuka stori ya moja wa mshujaa wetu aitwaye Ng'wana Malunde. Huyu mwamba baada ya kuwasumbua sana wakoloni, walimua kumkamata na kwenda kumfunga Unguja, aliyeyuka huko gerezani na kuonekana maeneo mbalimbali akirandaranda na ndipo aliposimulia habari za bahari kwenda kuchunga.
Sasa nyie watu wenye bahari yenu, naomba mnijuze kwa kina, bahari ikipwa huenda wapi?
Ana ID mbili ,moja alitumia kuuliza ya pili anatoa darsa murua kabisaJasmoni Tegga, asante sana kwa kuutendea haki uzi huu.
Haha haha hahah kila ID hapa JF ni ya BujibujiAna ID mbili ,moja alitumia kuuliza ya pili anatoa darsa murua kabisa
yanaenda mbingun😎😎Kwetu hakuna bahari, ila kuna ziwa kubwa sana. Mara ya kwanza kufika mikoa ya Pwani nilishanga sana kuona bahari ikiwa kavu na maji yake yameondoka.
Ndipo nilipoikumbuka stori ya moja wa mshujaa wetu aitwaye Ng'wana Malunde. Huyu mwamba baada ya kuwasumbua sana wakoloni, walimua kumkamata na kwenda kumfunga Unguja, aliyeyuka huko gerezani na kuonekana maeneo mbalimbali akirandaranda na ndipo aliposimulia habari za bahari kwenda kuchunga.
Sasa nyie watu wenye bahari yenu, naomba mnijuze kwa kina, bahari ikipwa huenda wapi?
Ana ID mbili ,moja alitumia kuuliza ya pili anatoa darsa murua kabisa
Wanasema ukilazimishwa unafanyaje sasa? Ngoja nikubali kuwa hilo jina kubwa Bujibuji Simba Nyamaume 🙂Haha haha hahah kila ID hapa JF ni ya Bujibuji
Ndio yakirudi huitwa maji ya upako?yanaenda mbingun😎😎
ndy yenyew 2nayopigwa buku10 ten kwa mwamposaNdio yakirudi huitwa maji ya upako?
kwanini ni maji ya bahari ndio yanahama?Ameeleza vizuri sana, kwa ufupi. Nadhani ambacho kinaweza kuleta utata kwa baadhi ni namna ambavyo mwezi unaweza kuyavuta maji.
Fikiria mwezi kama sumaku, then dunia na kila kitu (na maji pia) ni sumaku. Kwa hiyo vinavutana. Sasa maji kwa vile hayashikamani, yanavutwa na kuhama kulingana na uelekeo wa mwezi na jua angani.
Ikumbukwe kwamba mwezi (na jua) huwa sehemu tofauti tofauti angani, na hii huamua ni wapi kwenye uso wa dunia kuna kani yake ya uvutano mkubwa zaidi.
Palipo na kani kubwa ya uvutano, maji huvutwa zaidi na hivyo hujaa (high tide). Palipo na kani ndogo ya uvutano, maji hupwa (low tide).
Kidogo napata kitusimple ni kwamba sayari yetu hii yaani dunia inajizungusha kwenye mhimili wake na pia iko kwenye mzunguko wa kulizunguka jua kama sayari nyingine zinavyofanya. sasa dunia inapojizungusha kwenye mhimili wake kuna wakati inaegama, hapo ndipo ujazo wa maji huhamia kule ilikoegamia na ikirudi kwenye usawa wake kulingana na upande ulipo maji hurudi kwenye ujazo wake. mzunguko huo ndio hutuletea usiku na mchana.