Very true mpaka nikahisi ni mdomo wangu,Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Kila zama na nabii wake.Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Acha wazimu wewe , new water ipiNOTHING TO CONQ"kilimanjaro pure drinking water"
~its the new water-
Sasa hivi uhai kaja na chupa ya lita 1.6 kwa 500 tu,Afya lita 1 kwa jelo tu....maisha yanazidi kua rahisi siku hizi heko serikali ya JPMKila zama na nabii wake.
Sasa ni mwendo wa
Afya
Uhai
Masafi
Dasani
Mimi nachota kisimani ndoo 5 ni 500Sasa hivi uhai kaja na chupa ya lita 1.6 kwa 500 tu,Afya lita 1 kwa jelo tu....maisha yanazidi kua rahisi siku hizi heko serikali ya JPM
Ndugu, ukiusema ukweli, unamsaidia mmiliki kujua na kuchukua hatua...ITV waliwahi kuonesha kwenye habari ya saa mbili usiku; mchina anajaza maji kwenye chupa za kilimanjaro maeneo ya mburahati kama sikosei.....hayo yote yanaingia sokoniNaona mawakala wa hill water mpo kazini
Bravo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Maisha rahisi? Hata hiyo mia 5 kuipata ni ngumuSasa hivi uhai kaja na chupa ya lita 1.6 kwa 500 tu,Afya lita 1 kwa jelo tu....maisha yanazidi kua rahisi siku hizi heko serikali ya JPM
Weka pichaKuna mengine yameingia wanatoka Arusha! Kila duka la mchaga yapo yaani machalii wanayapenda balaa. Utasikia nipe maji ya .. wanamtaja jina mhusika. Chupa ni nyembaba ndefu chapa yake rangi ya blue kwa jero tu.
Pia machungu MkuuMaji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.
Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
Waambie mkuu, mimi niko huku Itirima sijawahi hata kusikia hayo maji mengine wanayoongelea.Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,
Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app