Maji ya Kilimanjaro yamekata pumzi

Moshi ni Kilimanjaro pure drinking water, Dar napiga Hill au Canadian Pure kwa sasa, mwanzo ilikuwa uhai na masafi. Mbeya natumiaga Dew drop...bonge la kiburudisho!
Mkuu jaribu hiyo maji kutoka mmereseni hapo marangu kitu Tanza... Mbeya tumeenda sawa hapo Dew drop yapo na ubora wa kutosha.
 
Siku hizi wanatengeneza hapa hapa dar lazima yawe na chumvi nyingi
Maji ni Rungwe na Dew Drop
 
Hakuba Kampuni yakuweza shindana na Kilimanjaro kwa hapaTanzania. Kilimanjaro ndo.kampuni pekee utakayo ipata nchi nzima,

Hayao mnayo yapigia debe usikute yako hapo Dar tu na sanasana Morogoro na Tanga. Ila Unashindana na Kilimanjaro inayo patikana Tarime, au Kibondo Kigoma au Kankonko mpakanao kabisa na Burundi au kule Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Achilia kote huko, yananyweka mpaka ikulu
 
AISEEE TUNA SAFARI NDEFU SANA WATANZANIA....MAANA PIREXY WAPO WENGI SANA KWENYE KILA KITU KWAKWELI
 
Hamia ya viroba mkuu full kusikia kile kiharufu cha water gard yaani ni matam sana kwa sisi walala hoi
Maji haya Kwa sasa yamepoteza ubora hasa yanayopatikana Dar es salaam.

Yana chumvi na ukakasi, siyapendi.
 
Unaona kwenye mkutano mkubwa wa Mazingira majuzi jukwaa la Fikra cheki maji hayo. Sio kilimanjaro
 

Attachments

  • 20190210_172053.jpg
    20190210_172053.jpg
    428.2 KB · Views: 26
Back
Top Bottom