Maji Uhai yana ladha mbaya

Maji Uhai yana ladha mbaya

Kwa sababu Kilimanjaro yameandikwa drinking water unadhani ndio standard? Acha kukariri, Dasani ni international brand na kuna 'purified water', sparkling water' etc. Kuna aina nyingi tu za maji duniani (zilizothibitishwa kwa ubora) ambazo hazijaandikwa 'Drinking water'..

Wewe ndo wasema kuhusu Kilimanjaro, jaribu peleka dasani/uhai Ikulu ukawape somo hilo uone kama hutarudishwa nayo getini. Hivyo dasani yako iliwahi kupata skendo ya ubora ikapigwa chini umesahau mkuu? Maji ya kunywa ni maji ya kunywa sio purified water, sparkling, pure, safi, halisi wala smart. Ila kama unataka maji ya kunawa uso, kupiga mswaki, kunawa mikono, kusukutua, kushusha/kupandisha pH ya mwili, kuponya kiungulia, n.k. basi nunua hayo yenye majina mengine. Lakini maji ya kunywa ni colorless, odorless, tasteless, shapeless. Yanatumika katika kukata kiu ya mtu mwenye kiu.
 
Wewe ndo wasema kuhusu Kilimanjaro, jaribu peleka dasani/uhai Ikulu ukawape somo hilo uone kama hutarudishwa nayo getini. Hivyo dasani yako iliwahi kupata skendo ya ubora ikapigwa chini umesahau mkuu?


Unaijua Dasani kimataifa? Viwanda vya bongo ndio vilitaka kuharibu jina. Anyway, swali langu lilikuwa ni kuhusu eti maji yote ya chupa yanapaswa kuandikwa just 'drinking water', habari hiyo umeipata wapi?
 
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.
Hebu jaribuni kuona haya basi.
kama mtu huwezi kuheshimu ni
vyema ujiheshimu mwenyewe.
 
Namuunga mkono mtoa post, ila kwa wengine hamuwezi kuelewa hii.
Mfano, mimi mwenyewe nikiwa maeneo ya k/koo eneo ninalopenda kununulia maji ni pale Livingstone street kwa duka la bakhresa, hivo basi niliwahi kununua maji ya lita moja nikiwa nakunywa humo humo ndani ya duka nilishindwa kuyanywa na kuyaacha pale pale kwenye kiti.

Kwanza najua madhara yapatikanayo na chumvi ipatikanayo kwenye maji tunayokunywa, pili hata walio kiwandani ni binadamu ambao kuna wakati wanakosea hasa pale wanapochanganya madawa, hivo basi msiwe mnatokwa na povu mtu anaposema kitu flani chenye share yako kina itilafu.

Mwisho hao TBS wakikupa go ahead ya kuwa na bidhaa nzuri/bora basi siyo kila unachotoa kitakuwa BORA la asha!, vingine utatoa famba product, kwani hawaji kila siku kupima ubora wa bidhaa.

Asante.
 
Ili lijamaa Lina ajenda Fulani ya km udini naisi Na kuharibu business za wawekezaji wazawa,,,----- maji ya uhai ndo tunayokunywa uswahilini daily Na hamna iko asemacho

kivipi?
 
Kwa sababu Kilimanjaro yameandikwa drinking water unadhani ndio standard? Acha kukariri, Dasani ni international brand na kuna 'purified water', sparkling water' etc. Kuna aina nyingi tu za maji duniani (zilizothibitishwa kwa ubora) ambazo hazijaandikwa 'Drinking water'..

Kuna aina nyingi za maji na sababu nyingi za kunywa maji. miongoni mwa sababu hizo ni kutii kiu yako, kutuliza maumivu tumboni, kuondoa gesi tumboni, kupandisha blood pressure yako, kupata mkojo mwingi, kurudishia chumvichumvi zilizopotea kwasababu ya kukojoa sana, kutokwa jasho, kuharisha sana, kutapika, n.k. Je maji ya Uhai yametengenezwa ili kukidhi lengo gani? Kama ni kwasabb ya kukata kiu basi yalipaswa kuwa "Drinking water" na sio "Pure Drinking Water" maana pure drinking water ina harufu ya upopo na undumilakuwili, hata yasipofikia kiwango cha maji ya kunywa huwezi kumhoji mwenye maji maana yeye ametengezeza pure drinking water sio drinking water. Why pure? maana yake unaweza hata kuyanywa kama ukitaka. Lakini kama akiandika "Drinking water" anamhakikishia mteja wake kuwa nenda uwendako haya hapa ni maji ya kunywa kama utayatumia kwa kazi nyingine basi itakuwa hiari yako mwenyewe. Kama hujui mambo haya nyamaza kimya tu bana. Hivyo hivyo hata kwa juices. Juisi halisi ya matunda yenye viwango vya kimataifa itaandikwa moja kwa moja kama "Mango juice", Guava juice, Apple juice, Orange juice, n.k sio fresh mango juice, drinking mango juice, sparkling juice, cool water melon juice, pure mango/orange/pineapple juice, n.k. Ukikuta juice ina majina hayo huwezi kuhoji sana kama haitafikia ubora wa juice halisi ya matunda husika, tena inawezekana hata hamna kabisa syrup inayotokana na matunda ni madawa tu yamechanganywa na kuyaita juice.
 
Mi naonaga kama hayakati kiu...!!!

Sodium level itakuwa ipo juu compare na mengine..!!
 
Unaijua Dasani kimataifa? Viwanda vya bongo ndio vilitaka kuharibu jina. Anyway, swali langu lilikuwa ni kuhusu eti maji yote ya chupa yanapaswa kuandikwa just 'drinking water', habari hiyo umeipata wapi?

Toa jina lako kwa maji yako kisha sema hicho ni nini (drinking water, pure drinking water, sparkling water, purified water, soft water, sweet water or what). Drinking water ni maji ya kunywa, je. pure drinking water ina maana gani? Kwa akili yako unadhani kuwa waliacha kuandika " Uhai: Drinking Water" badala yake wakaandika Uhai: Pure Drinking Water kwa bahati mbaya tu. Kuna maana na tofauti kubwa kati ya Drinking Water na Pure Drinking Water.
 
Angalia pH ya maji ya UHAI NI >7,Maji ambayo exactly pH 7 nilioyaona mimi ni Maisha ya Mohamed Interprises(METL).Chukua hatua,Badilika
 
Watu wapo kibiashara zaidi.

Viwango na afya za binaadam wenzao kwao urembo tu
 
Angalia pH ya maji ya UHAI NI >7,Maji ambayo exactly pH 7 nilioyaona mimi ni Maisha ya Mohamed Interprises(METL).Chukua hatua,Badilika


Haya ndio tunayosema muache kukariri, pH unajua ni nini? Kwa taarifa yako kuna maji yana pH mpaka 10.
 
mmetumwa na mengi au mo dewji?

Siku zote unadhani kuwa watu wote wanatumwatumwa ovyo kama wewe ulivyo, utazikwa na pesa? jali maisha ya wenzio utapata thawabu kwa mungu. Kama kitu hakifai rekebisha kifae ili kitumike kwa watu wote. Ikulu na wabunge sio wajinga kuacha kutumia maji Uhai, yana kasoro.
 
Kama ukitoka ku Dive kwa dem kisha ukayanywa lazima utasikia yana ladha mbaya.

Mmmh wewe ndo mwenye tabia ya kulamba nyuchi, unachotapika ndicho ulichokula, au siyo? Wewe ndo unayechakakua basi maji ya uhai
 
Haya ndio tunayosema muache kukariri, pH unajua ni nini? Kwa taarifa yako kuna maji yana pH mpaka 10.

Google:
WHO's drinking water standards

Hata hivyo kwa wakati huu kama wewe yanakufaa endelea kunywa, anayeona yana kasoro atafute mengine ila walaji walindwe
 
Google:
WHO's drinking water standards

Hata hivyo kwa wakati huu kama wewe yanakufaa endelea kunywa, anayeona yana kasoro atafute mengine ila walaji walindwe

"pH of Drinking Water;
Although the pH of pure water is 7, drinking water and natural water exhibits a pH range because it contains dissolved minerals and gases. SURFACE WATERS TYPICALLY RANGE FROM PH 6.5 TO 8.5 WHILE GROUNDWATER RANGES FROM PH 6 TO 8.5. WATER WITH A PH LESS THAN 6.5 IS CONSIDERED ACIDIC. This water typically is corrosive and soft. It may contain metal ions, such as copper, iron, lead, manganese and zinc. The metal ions may be toxic, may produce a metallic taste, and can stain fixtures and fabrics. The low pH can damage metal pipes and fixtures."

http://chemistry.about.com/od/ph/f/What-Is-The-Ph-Of-Water.htm
 
Back
Top Bottom