Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
Maji uhai yamechakachuliwa kweli ukiangalia chini ya chupa utaona yamewekwa super glue
Hata mi mwanzo niliamini yamechakachuliwa
Sasahivi amebadirisha chupa lkn ladha ni ileile
Maji uhai yamechakachuliwa kweli ukiangalia chini ya chupa utaona yamewekwa super glue
Utadhàni kuwa yamechotwa baharini, maji ya kunywa ya Uhai yana ladha ya chumvi nyingi isiyofaa kwa kunywa na kutuliza kiu
Tfda na tbs mko wapi?
...labda amekunywa yale yanayopatikana kule kwenye visima vya Uvinza!
ACHA UNAFIKI NAKUHARIBU BIASHARA ZA WATU WW,,,,WATU TUMEANZA KUNYWA HAYO MAJI KITAMBO TU NA HATUJASIKIA HAYO USEMAYO,,,,kunywa maji ya mwingira basi au ya kakobe ndo mazuri kwako,,,maana Una ajenda binafsi bila shaka

Unaongea matusi mazito kiasi hiki?...labda amekunywa yale yanayopatikana kule kwenye visima vya Uvinza!
Utadhàni kuwa yamechotwa baharini, maji ya kunywa ya Uhai yana ladha ya chumvi nyingi isiyofaa kwa kunywa na kutuliza kiu
TFDA na tbs mko wapi?
Huu ni ukweli mtupu yaliwa kunitokea haya uliyosema na huwa siyatumii tenaHapa hakuna kuharibu biashara ya mtu, ila kuna agenda ya kumlinda mlaji dhidi ya bidhaa zilizo chini ya viwango. Wewe kama unaona yanakufaa sema yanakufaa na yule ambaye anaona yaha hitilafu aseme yana hitilafu ili yarekebishwe ili biashara na afya za walaji ziende sawa. Usivunje kioo chako bali toa tongotongo zako zinazoonekana kwenye kioo. Maji Uhai yana chumvi nyingi sana, tena ukiyanywa ya mato (not chilled) unaweza kujisikia kichefuchefu na hata kutapika na moyo kwenda mbiyo, mimi binafsi na familia yangu tumeyaacha kuyanywa hadi pale yatakaporekeshishwa, kwasasa ninayapigia mswaki tu nikiwa safarini mikoani.
Ukiona maji hayakufai kunywa mengine kampuni za maji zipi nyingi mnooo