Maji Uhai yana ladha mbaya

Maji Uhai yana ladha mbaya

ACHA UNAFIKI NAKUHARIBU BIASHARA ZA WATU WW,,,,WATU TUMEANZA KUNYWA HAYO MAJI KITAMBO TU NA HATUJASIKIA HAYO USEMAYO,,,,kunywa maji ya mwingira basi au ya kakobe ndo mazuri kwako,,,maana Una ajenda binafsi bila shaka

Tanzania Tanzania mbona unaongezeka umri tangu mwaka 1961-2015 watu wako hawabadiliki mawazo,tunakuwa na mawazo yaleyale kwanini jamani,sasa wewe unatetea kwamba tangu maji uliokunywa mwaka jana ndo bado ypo mpaka sasa?.Watu wanataka faida tu wala cio ubora.
 
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.

Mi Nilikunywa juzi Nikahisi Kutapika...Aaaarggh!!!..Ptuuuuh
 
Hivi hata Maziwa ya Azam anatoa wapi...!!? Ng'ombe wake wako wapi...!!? Lini kaanza kufungua mashamba ya ng'ombe wa maziwa...!!? Sbb Tanga Fresh wana shamba kubwa la ng'ombe Tanga.....as well Asas Milk ana mashamba ya ng'ombe wa maziwa makubwa 3 Iringa na Mikumi...!!!!

Ubora wa bidhaa za Azam ni mashaka sana....mm sijawahi kunywa au kununua maziwa yake...sbb sijui anatoa wapi maziwa nchi zima...wakati sijana shamba anakofugia ng'ombe...hii ni hatari sana...!!

Hili Nalo Nenoo...
 
haya wafanyakazi wa bakhresa tupeni majibu why mnaweka chumvi kwenyr maji?

Cc azam
 
Last edited by a moderator:
True story: siku moja nilitembelea ofisi moja ya mmojawapo wa wamiliki wa kampuni zinazotengeneza maji ya kunywa ya chupa (sio uhai), mmmh nilishangaa kuona mezani kwake yako maji ya kunywa ya chupa ya kampuni nyingine, nikashikwa na butwaa kwanini yeye mwenyewe hanywi maji ya kampuni yake. Nilipomuuliza yule ambae alinisindikiza kwenye afisi ile ambaye ni fundi umeme wa kampuni ile ya kutengeneza maji akasema yeye hajawahi hata kuyaonja maji yake. Wewe unaonaje tukio kama hili?
 
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.


A True story: siku moja nilitembelea afisi moja ya mmojawapo wa wamiliki wa kampuni zinazotengeneza maji ya kunywa ya chupa (sio uhai), mmmh nilishangaa kuona mezani kwake yako maji ya kunywa ya chupa ya kampuni nyingine, nikashikwa na butwaa kwanini yeye mwenyewe hanywi maji ya kampuni yake. Nilipomuuliza yule ambae alinisindikiza kwenye afisi ile ambaye ni fundi umeme wa kampuni ile ya kutengeneza maji akasema bosi wao (owner) hajawahi hata kuyaonja maji yake. Wewe unaonaje tukio kama hili?

mkuu hujui maana ya soko huria nini......switch to other commodities. acha kelele!!
 
mkuu hujui maana ya soko huria nini......switch to other commodities. acha kelele!!

Research: Is there association between drinking certain brands of water and the development/exacerbation of kidney and heart diseases in Tanzania? The findings from this study will determine whether I stop talking about some peoples businesses as are saying or NOT. Otherwise I will call you stupid for not being concerned with the general public health just for money.
 
Maji ya uhai ni machungu,,ph inasoma 7.3 kwanini? Wenzao ph ni 7 kamili..maji yanakua mazuri..
 
Back
Top Bottom