Maji Uhai yana ladha mbaya

Maji Uhai yana ladha mbaya

Kwa sababu Kilimanjaro yameandikwa drinking water unadhani ndio standard? Acha kukariri, Dasani ni international brand na kuna 'purified water', sparkling water' etc. Kuna aina nyingi tu za maji duniani (zilizothibitishwa kwa ubora) ambazo hazijaandikwa 'Drinking water'..

Dasani ni international brand under authority, nyanza bottling wamepewa hiyo licence kwa tz ila maji ni mabayaaaaaaa saaaaanaaaaa.
 
Kama maji yanafaa kunywa na ni ya kunywa kwanini usiandike Maji ya Kunywa (Drinking water)?. Badala yake unazunguusha maneno na unaandika Pure drinking water, purified water, Pure Life, Mineral Water, n.k, ni kitu gani unakwepa kuandika drinking water?. Ukweli ni kwamba hii ni lugha ya kibiashara ya kukwepa mkono wa sheria kama maji yako hayatafikia standards zilizopo za maji ya kunywa (Drinking water). Sipigii debe lakini ni vema sana kunywa maji yaliyojipambanua kuwa ni maji ya kunywa ili uweze kuchukua hatua kama utapata madhara kwa kunywa maji hayo. Ndiyo maana watu wenye elimu hii ya biashara hawawezi kunywa maji yasiyoandikwa "drinking water" hata kidogo. Maji ya kunywa ni zaidi ya kukosa bacteria au uchafu ndani yake, bali hata uzito (tonicity) wake, harufu, ladha na aina ya kemikali zilizoyeyukia ndani yake. Water tonicity ina uhusiano mkubwa na magonjwa ya mafigo na moyo na uharibifu wa cells za mwili. Usicheze na maji ya kunywa ni hatari sana kama vigezo havitatimizwa.
 
Bidhaa nyingi za Tanzania zinatengenezwa kwa ajili ya masikini ndo maana hawajali ubora.
 
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.

Ni vyema ungeeleza hayo maji uliyanunua wapi, yalikuwa yamefungwaje, chupa hua zina tarehe ya kutengenezwa product husika hivyo ni vyema ungeisoma ili watakaosikia malalamiko haya wacha wapi pa kuanzia kufuatilia. Umechukua hata gani? Maana kama hayo maji umeyanunua katika duka linalofahamika ungekwenda hapo kulalamika na hao wangeyachukua maji hayo kama kithibitisho na sample kwa ajili ya kuyafanyia utafiti. Kwa mawazo yangu nafikiri hivyo ndio namna tunasolve mambo, maana umegeneralize sana ktk kufanya maamuzi as if hayo maji imeanza kunywa siku uliyokuta yana chumvi. Mie ninatumia maji ya Uhai ya 12 ltrs na sijaona tatizo unalolisema. Ila tunashukuru kwa taarifa nina amini wadau wataliona na kulifanyia kazi.
 
Umeongea kistaarabu sana, ninakusifu, hata hivyo ukisoma michango ya baadhi ya wachangiaji kwenye uzi huu utapata fursa ya kufahamu ukubwa wa tatizo kwenye bidhaa yako hii. Mimi binafsi nafahamu uzuri wa kuwepo bidhaa shindani kwenye soko kwa mlaji. Bidhaa zinazofanana kwenye soko zinaimarisha ubora na ku-control bei (demand, supply and price), hivyo lengo la uzi huu ni kuku alert kwamba something is wrong kwenye product yako, hii ni kawaida hata Coke na pepsi, TBL, n,k walishawahi kupata kadhia kama hii pia. fanya market surveys kila mara kuhusu bidhaa zako utawasikia walaji wanavyosema.

Nilikuwa na alternative ndo maana sikuhangaika kutoa taarifa wala kuchukua sample kwa kuwa ni watu wengi nimewasikia pia wakilalamika the same, siku nilivyoona chupa mpya nikajua sasa kama ni watu waliokuwa wakichakachua sasa ndo wamefikia mwisho wake, lakini haikuwa hivyo, hali ilizidi mara dufu ndani ya chupa mpya za uhai. Hata kuleta uzi huu jf ni kuchukua hatua pia ya kukusaidia.
 
Oky nashukuru kwa mawazo mazuri. Ila mie ni mteja tu kama wewe sio mwenye hayo maji rafiki. Ila msg imefika ninaamini wapo humu na watafanyia kazi.
 
haya maji ni fresh sana kwa kunywa acha majungu yako wewe
 
Kama maji yanafaa kunywa na ni ya kunywa kwanini usiandike Maji ya Kunywa (Drinking water)?. Badala yake unazunguusha maneno na unaandika Pure drinking water, purified water, Pure Life, Mineral Water, n.k, ni kitu gani unakwepa kuandika drinking water?. Ukweli ni kwamba hii ni lugha ya kibiashara ya kukwepa mkono wa sheria kama maji yako hayatafikia standards zilizopo za maji ya kunywa (Drinking water). Sipigii debe lakini ni vema sana kunywa maji yaliyojipambanua kuwa ni maji ya kunywa ili uweze kuchukua hatua kama utapata madhara kwa kunywa maji hayo. Ndiyo maana watu wenye elimu hii ya biashara hawawezi kunywa maji yasiyoandikwa "drinking water" hata kidogo. Maji ya kunywa ni zaidi ya kukosa bacteria au uchafu ndani yake, bali hata uzito (tonicity) wake, harufu, ladha na aina ya kemikali zilizoyeyukia ndani yake. Water tonicity ina uhusiano mkubwa na magonjwa ya mafigo na moyo na uharibifu wa cells za mwili. Usicheze na maji ya kunywa ni hatari sana kama vigezo havitatimizwa.

Inawezekana ni kweli una hoja ya msingi..

Lakini hiki kigezo cha "drinking water" kinaonesha ni jinsi gani ulivo mjinga..

Kama kuandika Drinking water ndo kunaamanisha hayo maji ni salama basi hata yale maji ya kandoro yangeandikwa hvo ili yapate soko..

Hiyo neno Drinkng water,purified water,sparking water ni mbwembwe tu kama zile za Express your self,Kazi ni kwako etc..ni sawa useme kwanini Airtel hawasemi express your self basi mtandao wao ni mbovu..

Alaf namna unavoandika comments zako n kama mtu fulani anaeandika kwa kukomoa na kwa kupiga majungu,kama mwanamke wa pwani hivi..

NARUDIA TENA INAWEZEKANA UNA HOJA YA UKWELI KABISA LAKINI KWA UANDISHI WAKO,NI WAJINGA WENZAKO TU WATAKUSUPPORT..

Mi nakunywa KILIMANJARO.
 
Hapa sikusudii kukujibu wewe maana umeonyesha kuwa kiwango chako kwenye nyanja hii kiko chini sana, ila nitajibu kwasabab ya wana jf wenzetu.

Katika biashara na bidhaa huwa bidhaa zinapewa majina ili ziweze kutambuliwa na kutofautishwa na bidhaa nyingine zilizoko kwenye soko. Hivyo bidhaa "nilazima" iwe na majina mawili hasa kama ugunduzi ulishafanywa na mtu mwingine tayari huko nyuma, Trade name kama vile Kilimanjaro, Uhai, MajiPoa, dasani, sheladol, panadol, elymol, Kiwi n.k na scientific (true) name kama vile drinking water, paracetamol au dawa ya viatu. Hivyo huwezi kutumia jina lako la biashara tu bila kuonyesha pia jina halisi (scientific name) la bidhaa yako. Kama dawa yako inaitwa panadol basi lazima useme kuwa hii ni paracetamol ili mtu atakayetaka kukagua ubora wa bidhaa yako aweze kuona kama kweli ina sifa, ubora, kazi, na tabia za paracetamol halisi ambazo ni kushusha homa na kupunguza maumivu. Hivyo mwenye bidhaa hawezi kuandika Panadol kisha akasema kuwa ndani yake kuna pure paracetamol, pure life paracetamol. concode paracetamol, purified paracetamol, fever paracetamol n.k. Uhai ni jina tu la biashara lakini jina lake halisi la bidhaa hii ni maji ya kunywa (drinking water) sio pure drinking water, na maji halisi ya kunywa huwa yana viwango (sifa, kazi na tabia) vyake ambavyo vipo kwa mujibu wa sheria, utafiti na sayansi. Mfanyabiashara anao uwezekanano mkubwa wa kushitakiwa kama akiandika Uhai ni drinking water lakini maji yake hayajakidhi vigezo vya drinking water vilivyowekwa na ama na shirika la afya duniani (WHO), Europe, China, South Afrika au America. Ndiyo maana wafanyabiashara wanakwepa kuyaita maji yao moja kwa moja kama 'drinking water' kwa kukwepa mkono wa sheria. Shida inakuja pale unaponunua maji yanayokereketa kooni, machungu, yana ukakasi, yana chumvi, sukari, yana harufu ya chlorine, ammonia, majani, n.k wakati wewe ulitaka kununua maji ya kunywa ili kupoza kiu yako tu, Mtengenezaji atakwambia maji yangu hayana bacteria ndiyo maana nimeyaita pure, purified, pure Life n.k lakini sio lazima yawe na ubora wa maji ya kunywa. Maji wanayojichotea wananchi wenyewe kutoka kwenye vyanzo mbalimbali vya maji kama vile visima, mito, maziwa, mabwawa, chemchem, mvua, n.k yanaweza kutofautiana ubora wake kutokana na mazingira chanzo cha maji kilipo lakini maji ya kunywa ya kutengezezwa viwandani (processed) kama uhai, kilimanjaro, dasani, n.k yanatakiwa yafuate viwango ama vya maji ya kunywa au kuwekwa kwenye batteries, rejeta za magari na kuchanganyia dawa (distilled water), au maji ya kumsadia mgonjwa anayeharisha na kutapika, au aliyeungua moto, au anayeshindwa kula chakula, au mgonjwa mwenye shinikizo dogo la damu (hypovolmic shork) n.k. Maji yote haya huwa yana standards zake za kimataifa. Maji ya kunywa ni zaidi ya kutokuwa na wadudu na masafi.

Watu wote wanajua kuwa gari ikiitwa tipper basi ina uwezo wa kupinuka na kumwaga mzigo yenyewe, kama haifanyi hivyo hiyo sio tipper, nina uwezo wa kumhoji mtengenezaji au aliyeniuzia kwanini tipper yake haimwagi mchanga? Lakini kama atakwambia kwamba amekuuzia lori lenye muundo wa tipper na sio tipper huwezi kumhoji zaidi.

kama maji hayakati kiu yangu na yana uwezo wa kuniongezea ugonjwa wa moyo na mafigo hayo sio maji ya kunywa hata kama utayapamba kwa majina gani, kwanza kwanini aseme ni pure drinking water, nini maana yake? (hayana bacteria?, hayana kemikali, hayana harufu, hayana ladha au nini? why pure?). Kama maji ya kandoro kwenye mfuko wa rambo na kuyaandika maji ya kunywa ni juu yangu na taasisi husika kuona kama kweli hayo ni maji ya kunywa yenye kazi ya maji ya kunywa na kuchukua hatua. Lakini kama ameyaandika kandoro, pure water, purified, top water, n.k ni ujinga wako kuyanywa (drink at your own risk)
 
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.

mkuu acha kuharibu biashara za watu. ok tuambie tunywe maji gani yenye ladha nzuri
 
Maji SayOna au DASANI tu...mengine maji ya dampo..!!
 
mkuu acha kuharibu biashara za watu. ok tuambie tunywe maji gani yenye ladha nzuri

Knowledge is Power: Jaribu kunywa brands mbalimbali itakayokuridhisha ambatana nayo, kama una hofu nayo peleka kwa mkemia mkuu akuthibitishie ubora. Tii kiu yako.
 
sasa kwa akili zako unadhani yale maziwa anayatoa kifuani wa mkewe?!

Nyie watu mpo kishari shari sana, baada tu ya kufikilia upande mwingine. kwa nini usimjibu wapi wanafugia hao ng'ombe wake
 
Back
Top Bottom