Maji Uhai yana ladha mbaya

Maji Uhai yana ladha mbaya

Tatizo hujawahi kunywa maji ya chupa ndio maana yanakupa tabu. Kwa hapa Dar huwa sinywi maji mengine zaidi ya Uhai.

Kule bungeni nako hawanywi Maji Uhai kwa sabb hawajawahi kunywa maji ya chupa ya Uhai?
 
Hivi hata Maziwa ya Azam anatoa wapi...!!? Ng'ombe wake wako wapi...!!? Lini kaanza kufungua mashamba ya ng'ombe wa maziwa...!!? Sbb Tanga Fresh wana shamba kubwa la ng'ombe Tanga.....as well Asas Milk ana mashamba ya ng'ombe wa maziwa makubwa 3 Iringa na Mikumi...!!!!

Ubora wa bidhaa za Azam ni mashaka sana....mm sijawahi kunywa au kununua maziwa yake...sbb sijui anatoa wapi maziwa nchi zima...wakati sijana shamba anakofugia ng'ombe...hii ni hatari sana...!!

sasa kwa akili zako unadhani yale maziwa anayatoa kifuani wa mkewe?!
 
Kama ya kununua una mashaka nayo si uchemshe...acha kuharibu biashara za watu....

Maandazi makavu! kama maji ni bora na salama wewe una hofu gani? wacha yajadiliwe kisha yachunguzwe!
 
Uhai hii hii ya zamani na mpya. Maji yale ukiyanywa ya moto ndo utaipata habari yake.

Mimi najua huwa yana kiharufu cha kemikali hivi na zamani yalikuwa na ladha ya uchungu kiasi lakini si chumvi...
 
Kama ya kununua una mashaka nayo si uchemshe...acha kuharibu biashara za watu....

Kama yana viwango vya kimataifa wewe una wasiwasi gani? ngoja yajadiliwe na wadau kisha yapimwe kama ni bora yataibuka kidedea tu, sisi tuna exposure ya kimataifa tunafahamu maji ya kunywa yana ladha gani, ndo maana kuna baadhi ya maji yanaonekana yakitumiwa hata Ikulu, bungeni, kwenye mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahoteli ya nyota 5, n.k. siyo kwamba hiyo inatokea kwa bahati mbaya tu. Yapo maji ambayo yanatumiwa na watu wa kawaida yakiwemo yale ya kufunga kwenye nailoni (kandoro) hii inachangiwa na vitu kama upatikanaji, bei ya maji na uchumi mdogo wa walaji, ujinga wa watumiaji, rushwa na matangazo ya bidhaa kwa umma.

Maji yote ya kunywa yanapaswa kuwa na viwango vinavyofanana vya maji ya kunywa na ya andikwe kwenye chupa yake kuwa ni "Maji ya kunywa" (drinking water) basi maana chemistry ya miili yote ya binadamu wa kawaida duniani huwa inafanana. Kuandika majina kama vile "maji safi ya kunywa", "maji salama ya kunywa", maji halisi ya kunywa", pure water", "pure drinking water", n.k. kwenye vifungashio vya maji ni ukwepaji wa kutimiza vigezo vya viwango vya maji ya kunywa (drinking water). Maji ya kunywa ni maji ya kunywa tu (drinking water) basi hakuna maji salama, safi, halisi wala pure ya kunywa. Kama ilivyo coke au pepsi ladha yake inapaswa kubaki ileile kokote uendako. Tutawaandama tu kabla hamjatuua kwa bidhaa zenu chafu.
 
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.

Maji ya uhai si salama kwa matumizi ya binadamu,nashangaa TBS wako wap..

Hayo maji hayana ladha kabisa, hata ukiangalia hafla mbalimbali za kiserikali huwezi kuyaona huko
mmetumwa na mengi au mo dewji?
 
Utakuwa uliingia chumvini mkuu. Halafu papuchi nyingi za uswazi huwa si safi. Zina fangasi nyingi na chumvi chumvi kwa wingi. Kwahiyo kama ulitoka kula denda ama kuingia chumvini kwa demu wa uswazi halafu ukanywa maji ya uhai ili kupoza koo lako baada ya gwaride basi chumvi nyingi ni lazima utaihisi.
 
Mbona sijawahisikia azam akilalamika maji yake ya Uhai yanaghushiwa?

Wa wapi wewe? Na matangazo walitoa mtu atayefanikisha kukamatwa kwa wanaoghusi bidhaa zao atazawadiwa donge nono!
 
Kama yana viwango vya kimataifa wewe una wasiwasi gani? ngoja yajadiliwe na wadau kisha yapimwe kama ni bora yataibuka kidedea tu, sisi tuna exposure ya kimataifa tunafahamu maji ya kunywa yana ladha gani, ndo maana kuna baadhi ya maji yanaonekana yakitumiwa hata Ikulu, bungeni, kwenye mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahoteli ya nyota 5, n.k. siyo kwamba hiyo inatokea kwa bahati mbaya tu. Yapo maji ambayo yanatumiwa na watu wa kawaida yakiwemo yale ya kufunga kwenye nailoni (kandoro) hii inachangiwa na vitu kama upatikanaji, bei ya maji na uchumi mdogo wa walaji, ujinga wa watumiaji, rushwa na matangazo ya bidhaa kwa umma.

Maji yote ya kunywa yanapaswa kuwa na viwango vinavyofanana vya maji ya kunywa na ya andikwe kwenye chupa yake kuwa ni "Maji ya kunywa" (drinking water) basi maana chemistry ya miili yote ya binadamu wa kawaida duniani huwa inafanana. Kuandika majina kama vile "maji safi ya kunywa", "maji salama ya kunywa", maji halisi ya kunywa", pure water", "pure drinking water", n.k. kwenye vifungashio vya maji ni ukwepaji wa kutimiza vigezo vya viwango vya maji ya kunywa (drinking water). Maji ya kunywa ni maji ya kunywa tu (drinking water) basi hakuna maji salama, safi, halisi wala pure ya kunywa. Kama ilivyo coke au pepsi ladha yake inapaswa kubaki ileile kokote uendako. Tutawaandama tu kabla hamjatuua kwa bidhaa zenu chafu.

Kwa hiyo wewe unajua 'ubora' kuliko International Standards Organisation (ISO) sio? Kwanini ISO wamethibitisha ubora wa hayo maji?
 
Mlishawahi kusikia 'kombe'? This might be it in abundance!
 
Kama yana viwango vya kimataifa wewe una wasiwasi gani? ngoja yajadiliwe na wadau kisha yapimwe kama ni bora yataibuka kidedea tu, sisi tuna exposure ya kimataifa tunafahamu maji ya kunywa yana ladha gani, ndo maana kuna baadhi ya maji yanaonekana yakitumiwa hata Ikulu, bungeni, kwenye mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahoteli ya nyota 5, n.k. siyo kwamba hiyo inatokea kwa bahati mbaya tu. Yapo maji ambayo yanatumiwa na watu wa kawaida yakiwemo yale ya kufunga kwenye nailoni (kandoro) hii inachangiwa na vitu kama upatikanaji, bei ya maji na uchumi mdogo wa walaji, ujinga wa watumiaji, rushwa na matangazo ya bidhaa kwa umma.

Maji yote ya kunywa yanapaswa kuwa na viwango vinavyofanana vya maji ya kunywa na ya andikwe kwenye chupa yake kuwa ni "Maji ya kunywa" (drinking water) basi maana chemistry ya miili yote ya binadamu wa kawaida duniani huwa inafanana. Kuandika majina kama vile "maji safi ya kunywa", "maji salama ya kunywa", maji halisi ya kunywa", pure water", "pure drinking water", n.k. kwenye vifungashio vya maji ni ukwepaji wa kutimiza vigezo vya viwango vya maji ya kunywa (drinking water). Maji ya kunywa ni maji ya kunywa tu (drinking water) basi hakuna maji salama, safi, halisi wala pure ya kunywa. Kama ilivyo coke au pepsi ladha yake inapaswa kubaki ileile kokote uendako. Tutawaandama tu kabla hamjatuua kwa bidhaa zenu chafu.

Kwa sababu Kilimanjaro yameandikwa drinking water unadhani ndio standard? Acha kukariri, Dasani ni international brand na kuna 'purified water', sparkling water' etc. Kuna aina nyingi tu za maji duniani (zilizothibitishwa kwa ubora) ambazo hazijaandikwa 'Drinking water'..
 
Utadhàni kuwa yamechotwa baharini, maji ya kunywa ya Uhai yana ladha ya chumvi nyingi isiyofaa kwa kunywa na kutuliza kiu
TFDA na tbs mko wapi?

Wewe utakuwa uliuziwa maji ya chumvi kwa lutumia chupa ya uhai.
Maji ya uhai yapo poa sana, kuwa makini na wauzao maji kwenye barabara au vituo vya mabasi.
 
Back
Top Bottom