Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

Maji marefu wewe ni msomi uliyebobea mpaka kufikia hadhi ya kuwa profesa, wanafunzi wako wa chuo kikuu wakiona hii habari hawataipenda kabisa.

Are you kidding! Maji marefu is not an academic Professor he is a traditional healer, actually not he is a WITCH! and he entitled himself "professor" referring to "Professor of withcraft"! so no Uni student will be ashamed of his foolish acts!
 
Asiwashtaki badala yake aroge,shule kumbe muhimu,hata kama kapigwa picha na nasary what wrong?

Yaani mkuu kama tuliwaza pamoja. Nilikuwa nataka kumshauri akawaloge tu badala ya kuhangaika na mahakama na koupoteza muda wake.
 
Hivi hata hao wateja wanaokwenda kwa mganga wa kienyeji mjinga kama huyu, wana akili sawasawa kweli! Yaani lijamaa linaonekana kabisa halimchekea Vicent Nyerere linamwangalia na kumchekea Mbunge Mtarajiwa, halafu linasema hapo lilikuwa linatishiwa kuchomwa moto! Halafu kwa mtu mwenye akili za kawaida, angekwenda kulishitaki gazeti lililompiga picha na kuitoa wakati yeye alijua anafanya Usaliti kwa siri badala ya kutaka kupeleka mashitaka ya kijinga mahakamani as if mahakama hazina kesi za kufanya na kuwapelekea madudu ambayo hata mtoto mdogo angeweza kuihukumu kesi hiyo!
 
vipi maji marefu alienda kuroga kambi ya chadema? ndo hivyo basi sayansi imemuumbua
 
maji marefu hapa umeificha hekima yako na uka-display upumbavu wako!!!
 
Majimarefu Asema Picha Imetengenezwa
Amemaliza maongezi na wakili maarufu jijini kuiburuza CHADEMA na MWANANCHI Mahakamani Jumatatu kwa kumchafulia jina na heshima yake ndani ya chama na jamii kwa ujumla





"Picha hii nilipigwa nikiwa na huyu mbunge mwenzangu, Vicent Nyerere (kulia), lakini huyu wa kushoto (Joshua Nassari) hakuwepo karibu yangu kabisa! Yeye alikuwa mbali akiamrisha vijana wanichome moto tena akiwa na hasira, tofauti na anavyocheka katika picha hii. Huu ni mchezo mchafu wa kuunganisha picha kwenye kompyuta uliofanywa na CHADEMA na kwa makusudi gazeti hili likaichapisha, baada ya kuona kwamba hatua aliyofanya Nassari ya kutaka niuawe jana ni mbaya sana. Nitalishitaki gazeti hili". Analalamika Mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani wakati akionyesha picha inayomuonyesha akiwa katika furaha ya hali ya juu yeye, Nyerere na Nassari. Picha hiyo imechapishwa jana ukurasa wa kwanza gazeti la Mwananchi.Vilevile ukurasa wa kwanza gazeti la Tanzania Daima.

.
Mze maji marefu changamkia elimu wakati huu. Unaweza soma elimu dunia huku ukiwa kazini.
.
 
Kwann maji marefu ashitaki gazeti kwa picha tu? asome maelezo ya picha ili aelewe maudhui yake.Can a professor judge the book by its cover?
 
kamanda upo sahii kabisa , halafu maji marefu hajui kuwa lilipotokea tukio lile kulikuwa na wanhabari wengi tena wa muda mrefu wameona mwanzo mwisho ningemshauri aachane na habari hizo, picha lipiga kweli tena Tatu akiwa amekumbatian na wale wabunge. atapoteza muda sababu hata mwenyehotel anaweza kuwa shahidi
 
Mambo wanayoyafanya viongozi wa CCM kama hili na wanachama wao yanawafanya hata watu wasio na elimu waonekane wanamiliki digilii sasa huyu maji marefu ndo nini sasa anawaeleza wanachama na watu anaowaongoza hapa kama sio upompopo tu huu
 
naombeni namba yake niulizie dawa za kuongeza nguvu za kiume.
kwa sababu hawa waganga wengine siwaamini.
 
Back
Top Bottom