Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

Lusinde alisema Maji Marefu anawachanja baadhi ya watu wa Chadema chale za makalio. Sasa kwanini asianze naye kwanza?
 
ivi mtu anahamasisha uchomwe moto akiwa mbali, wewe upo na kampeni meneja wake unzchekelea badala ya kutoka nduki!!! acha kutuzuga wewe utacheka pembeni!! na kwann hukuchomwa!!
 
"Maji marefu, unawalea sana wabunge hawa wa CHADEMA. Umewachanja matakoni leo hii wanarudi kukutukana. Kudadadeki. Niseme nisiseme"???????

Mh. Lusinde. Capaign Arumeru Mashariki 2012
 
huko korogwe aliroga wapiga kura katika kura za maoni za magamba au ilikuwaje!!!!????
 
Maji marefu, hawezi kitu, sisi tunamtetezi KRISTO YESU ANATOSHA. Kwanza unatia aibu UKRISTO hapaswi na hafai kuitwa John Ngoyani. Kinachofuata ni kifo. Namshauri AKATUBU.
 
dah me nldhan anaenda kushtak cdm wameiba kula kumbe pcha.... ye afurai2 koz amepata nafas ya kupgwa pcha akiwa na mcha mungu cyo wachawi wenzake.....
 
kumbe viongozi wa tz wanachukulia vyama vingi kama ugomvi badala ya chachu ya maendeleo. Jamaa anadhani sifa

kusema kuwa Nasari aliamuru watu wamchome moto huku hana ushahidi kwenye hilo. Ofcoz ataliwa tu pesa na hiyo kesi

uwezekano wa kushindwa ni mkubwa. Ila kwa vile tunajua wabunge wetu wana hela ya kuchezea ye asonge tu
 
Kwa gazeti la Mwananchi hii siyo mara ya kwanza kuchakachua picha. Wanajamii forums hamkmbuki namna Mwananchi mwaka 2005 lilivyochakachua picha ya Dk. Salim Ahmed Salim wakafanya copping ya kishenzi ikimuonyesha akiwa na sultan na viongozi wa Hizbu na kuwatoa katika picha hiyop watu wengine? Mwananchi ni gazeti la Kenya na liko hapa nchini kwa ajenda maalum, nayo ni kuleta machafuko nchini Tanzania.

Mmmh!! Unayosema yanaukweli mkuu? Hiyo ni habari nene kuliko maji yanayotaka kushitaki chama
 
Afu jamaa ata sura yake tu inaonesha hana kipaji cha uongozi labda fundi majiko.
Majimarefu Asema Picha Imetengenezwa
Amemaliza maongezi na wakili maarufu jijini kuiburuza CHADEMA na MWANANCHI Mahakamani Jumatatu kwa kumchafulia jina na heshima yake ndani ya chama na jamii kwa ujumla





"Picha hii nilipigwa nikiwa na huyu mbunge mwenzangu, Vicent Nyerere (kulia), lakini huyu wa kushoto (Joshua Nassari) hakuwepo karibu yangu kabisa! Yeye alikuwa mbali akiamrisha vijana wanichome moto tena akiwa na hasira, tofauti na anavyocheka katika picha hii. Huu ni mchezo mchafu wa kuunganisha picha kwenye kompyuta uliofanywa na CHADEMA na kwa makusudi gazeti hili likaichapisha, baada ya kuona kwamba hatua aliyofanya Nassari ya kutaka niuawe jana ni mbaya sana. Nitalishitaki gazeti hili". Analalamika Mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani wakati akionyesha picha inayomuonyesha akiwa katika furaha ya hali ya juu yeye, Nyerere na Nassari. Picha hiyo imechapishwa jana ukurasa wa kwanza gazeti la Mwananchi.Vilevile ukurasa wa kwanza gazeti la Tanzania Daima.
 
Mkiona nchi inakwenda mzobemzobe angalia wanaoiendesha , we mtu kama huyu Sangoma eti naye ni mbunge atoe mawazo gani ana uwezo gani wa kujenga hoja , ndio maana Nyerere alisema "CCM ni kama dodoki " , limezoa hata wapiga ramli eti ndio viongozi wetu
 
Magamba bwana,wana kila aina ya watu mpaka waganga! mi nilijua ni mipasho tu! ( ya lusinde), Korogwe vijijini hawana mbunge!
 
Prof Maji we nenda kawashtaki hao mabwana ili ukilipwa pesa za fidia kwa ajili ya kujisafisha uende ukamalizane na yule jamaa anaekudai nyumba kule Korogwe. Yule bwana atakuchafua sana kwani umevunja mkataba na ameshakuvumilia sana!
 
mi siamini kama anaweza kuzungumza upuuzi kama huo. haya labda kashatanguliza majini yake mahakamani
 
Sasa kwani wakiwa picha moja kuna ubaya gani?? Watu wengine hovyo kabisa. Analeta vichekesho mahakaman! Kwanza hamna mahakama za kuchezea hapa Tz, kuna kesi kibao zinazohitaji hukumu, sio hii ya sangoma!
 
Back
Top Bottom