zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
yeah! tuombe uzima tu, na bilashaka hadi hapo wale watoto wa manamba watakuwa wamemaliza kidato cha 4 shule za kata watawaelimisha na wazazi wao.....By 2015 wataerevuka tu
ni aibu sana kwa jimbo kuwa na mwakilishi asojua kusoma wala kuandika hata neno father, eti anategemea binti yake anayesoma form 6 amtafsilie...