Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

bahati mbaya siangaliagi brand.naangaliaga ubora wa maji.maji ya AFYA ndiyo huwa nahisi yako natural sana.toka nianze kunywa sijaaacha na sitayaacha
Afya huwa naona Kama vile Kuna ladha ya sukari kiasi au
 
watumiaji huangalia vifuatavyo,
Upatikanaji wa maji
Bei ya maji
Ladha ya Maji
Muonekano wa Chupa
Bei ya Maji

Kwa sasa karibu kila mkoa unakiwanda cha Maji, ila kila mkoa una favourite

Mfn; Tabora wanapenda Dew Drop, Acqua rock, Jambo na Udzungwa.

Shinyanga; Jambo na Kilimanjaro
Mwanza; Sequa, Kilimanjaro, Jambo na Dasani
Dar es salaam; Afya, Masafi, Kilimanjaro.

Kwa hiyo chief kwa sasa soko ni gumu, ushindani ni mwingi.... Uhai ndio naona kama anapotea
kama ulikuwa unafanya research majibu kidogo ndio hayo,
Nashukuru mkuu kwanini Uhai inapotea...
 
Japo hii ni promo isiyo na malipo. Ila kiuhalisia Udzungwa na Maji Mkwawa yana radha murua kuliko mengine yote.
Sio promo ila Kuna mengi nimejua maana Kila mchangiaji ametoa maelezo mazuri kulingana na eneo analotoka na maji yanayotumika kuna maji mengine ndo Leo nimayajua Kama yapo hapa nchini...
 
Masafi-1.7litres kwa 600Tsh au 700Tsh kwa baadhi ya maeneo,nayaelewea sana yapo economical.
Kwenye water dispensers,maji ya kisima yapo cool sana.
Uhai,sayona yapo vizuri.
Maji ndanda spring na abbey nayakubali kinomanoma.
Maji ya kilimanjaro sijawahi kuyapenda sijui ndo ushamba wangu.Bora nichukue dasani kuliko kilimanjaro hayanishawishi kunywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Abbey yanapatikana wapi na yanatengenezwa wapi
 
TBS yafaa watoe kwa wanywaji specifications za minerals zinazotakiwa katika maji.
Pia serikali iunde mfuko wa maji vijijini kila lita moja ya maji inayozalishwa kuwe na sh 50 ya mfuko ili miradi ya maji vijijini ifanyike kama ilivyo REA.Viwanda ni vingi sana
Hilo la msingi sana kwa TBS na pia mfuko wa maji ni muhimu Sana Kama ambavyo kwa Kila Lita moja ya mafuta ya magari kuna pesa inayokatwa ili kuchangia mfuko wa barabara.
 
Siwezi acha kunywa maji kwa sababu ninayoyataka hayapo sijafikia hilo daraja. Nakunywa yoyote kutegemeana na mazingira na bei. Uhai 700 masafi 500 nakunywa masafi. Kilimanjaro 1500 uhai 700 nakunywa uhai etc

Congo siyo Kongowe
 
Back
Top Bottom