Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,021
- 1,739
Udzungwa
Tumia kitu ukiwaza napata faida gani.haya huwa machungu mkuu. Labda kama yameboreshwa
Maji makali kama nini
Mfano dasani.Reserve osmosis process yanapatikana wapi
Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.
Ni aina gani ya maji ambayo umekuwa unapenda kunywa unapopata kiu na kwanini.....
Hasa Kilimanjaro, Dasani. Uhai utazani ya bwawaniAFYA UDZUNGWA NA RUNGWE nchi nzima hamna maji kama hayo utadhan unakunywa maji ya mvua au chemchem ya maporomoko.Mangine yana ukakasi wa chumvi kwa mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bora umeongea mi kilimanjaro hapana na DasaniHasa Kilimanjaro, Dasani. Uhai utazani ya bwawani
tuwaulize wazalishaji nadhani watakuwa na majibu mazuri, lakini pia jiongeze kwa kuangalia pembeni ya chupa kuna kiasi cha mchanganyiko wa vitu vilivyomo
Kilimanjaro pia, lkn naona kama wamepunguza ubora au kuna fake.Kilimanjaro, kwa kuwa ni bora na ndiyo yanayopatikana nilipo kwa bei poa kabisa. 1.5lt @ 1k
Makali kama ndimuMaji makali kama nini
Uhai inapotea kutokana na ushindani ulioko sokoniNashukuru mkuu kwanini Uhai inapotea...
Means quality yake imeshindwa kiwa improved?au failure in marketing?Uhai inapotea kutokana na ushindani ulioko sokoni
failureMeans quality yake imeshindwa kiwa improved?au failure in marketing?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana baaaaabKumbe nime kukumbusha mbali mkuu
Well said, nayapenda kwa kuwa yanatoka katika chanzo nachokifahamu vema. Hata yasipokuwa ya baridi bado yakua na ubora ule ule.Udzungwa. Niliyapenda siku hio hio.. Kiasili maji hayana radha lakini haya matam Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Udzungwa yanapatikana katika mto unaotililisha maji kutoka mlimani, kwa hiyo ni "direct intake kutoka mlimani".AFYA UDZUNGWA NA RUNGWE nchi nzima hamna maji kama hayo utadhan unakunywa maji ya mvua au chemchem ya maporomoko.Mangine yana ukakasi wa chumvi kwa mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app