Maji aliyoahidi JK zimewekwa rangi za CHADEMA

CHADEMA na viongozi wake ni watu wa ajabu kweli. Wanapenda sana kujisimika katika jamii (wapenda sifa).

Maji yamepatikana kwa sasa utawasikia CHADEMA na viongozi wake wakidai ndiyo wameleta. Wakati maji hayakuwepo, walikuwa wanasema, CCM imeshindwa kuleta maji katika kijiji hicho wakati serikali ya CCM ndiyo inakusanya kodi.

Mkuu kama hutajari naomba kuuliza maswali machache,, 1) Kwamba viongozi wa serikali ya mtaa huo ni kutoka chama gani kati ya ccm na Chadema,2) Je diwani na mbunge wa kata na jimbo husika ni kutoka chama gani kati ya Ccm na Chadema. Viongozi wote hao walichukua hatua gani baada ya kuona tank limepakwa benders za chama au kazi hiyo ilifanyika usiku?

Kwanini uwatuhumu viongozi wa Chadema je ulimwona kiongozi yeyote wa Cdm akishika rola au kutoa pesa kwa wapakaji wa rangi hizo?

Kwanini isidhaniwe kuwa ni wananchi wenyewe ndio walioamua kupaka rangi hizo baada ya kurudishwa na jinsi Chadema ilivyo wasemea mpaka kupatikana kwa maji hayo?

Karibu mkuu kwa majibu mwanana

BACK TANGANYIKA
 
Siyo njama tu, bali pia wanajenga mazingira ya ubaguzi kama kilivyo chama cha CHADEMA.

Kwanza mradi wa maji umefanywa na serikali ya CCM. Hakuna hata senti moja ya CHADEMA iliyochangia kwenye mradi.

Pili, Kama maeneo yote ambayo miradi imefanywa/inafanywa na serikali ya CCM ingekuwa inapaka rangi ya bendera ya CCM, nadhani nchi karibia yote ingekuwa imetapakaa bendera ya CCM.

Serikali ya CCM haipaki rangi za bendera ya CCM kwa sababu inatambua kuwa, waliochangia na kufanikisha miradi mbali mbali kwa njia moja au nyingine ni wananchi wote.

Hilo suala lazima lifanyiwe kazi kama kweli wamepaka rangi ya bendera ya CHADEMA.

chadema full maujanja kila idara,huwezi kukuta mwanachadema akawa lofa,ndo mshangae nyinyi maji ya serikali ya ccm matank yana rangi za chadema,karibu asilimia kubwa ya watumishi serikalin wana mapenzi na chadema
 
Kumbe Mamdeny ni fisadi-gamba la CCM...!

Mamdeny nilhisi wewe ni mjanja kumbe fisadi-gamba
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Nenda kamueleze hizi habari Vasco Dagama ili akatae kwenda kufungua mradi!! Ulitaka wapake rangi ya kijani sio?
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............
we unata maji au rangi ? ufikiriaji wa maccm ni chini ya cetrigrade -0
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Shkamoo mwalimu wangu.

Mbona malalamiko yako hayaeleweki? Je, hicho kijiji kinaongozwa na chama gani? chadema wameingiaje hapo? Tutajuaje kama rais alishindwa kutekeleza ahadi zake halafu chadema wakaweza?

Huo lazima utakuwa mradi wa chadema. Kinachotakiwa ni rais aje azindue mradi wa maji
 
Tena wapita njia Wanasema eti maji yao.
Hapa kuna njama chama Njoo uone haya madudu tunayofanyiwa huku.
Waganga njaa hawana jipya ache niendelee na mafunzo ya uwekezaji kwenye mchezo Rio
 
Last edited by a moderator:
Rangi nazo zimeanza kuwatatiza!!!!!
ni dalili za "apertheid" (kimombo kitamu ukikiotea)
 
Kama ni kweli mradi umekamilika hizo ni kodi za watanzania.
Rangi ya tank ina changamoto gani kwako?
Kama ni kweli wewe Ulitaka wapake rangi gani?

Uzi wako umechoka.
 
Weka evidence ya ukisemacho, sio kulia hapa
 
Hata darasani nilipata shida na wewe hivi hivi.
Shkamoo mwalimu wangu.

Mbona malalamiko yako hayaeleweki? Je, hicho kijiji kinaongozwa na chama gani? chadema wameingiaje hapo? Tutajuaje kama rais alishindwa kutekeleza ahadi zake halafu chadema wakaweza?

Huo lazima utakuwa mradi wa chadema. Kinachotakiwa ni rais aje azindue mradi wa maji
 
Hawa makandarasi wana njama. Wanaweka itikadi kwenye miradi ya serkali.

You should know this. Kandarasi ya mradi kama huo inapotolewa, huambatana na specifications
ambazo ni sehemu ya mkataba wa kisheria. Mkandarasi haruhusiwi kufanya chochote kinyume na specifications zilizotolewa na ukaguzi hufanyika katika kila hatua ya ujenzi kabla ya malipo kufanyika (certificate kuthibitisha kazi iliyofanyika ni msingi wa malipo yanayofanyika). You can't just politicize everything. Unajidhalilisha. If anything, hapa unaonesha namna serikali ya CCM ilivyo dhaifu kusimamia matumizi ya fedha za umma. Na inakuwaje Mamndenyi unakuwa mshabiki wa MaCCM? Kuna namna unapata maslahi binafsi.
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

hahahaaaaa! Umenikumbusha Yanga ilipokakataa jezi za wadhamini kisa kidoti cha rangi kidogo tu,Kumbe haya mamburula yapo hadi humu!? Jf tumeingiliwa haki ya Mungu.
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Picha tafadhali ajuza wetu kipenzi Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
UFAHAMU KUWA MAJI HAYO HAJAWEKA KIKWETE KWA FEDHA ZAKE, NI JASHO LA WALIPA KODI WOTE WAKIWEMO WANACHAMA WA CHADEMA NA WASOVYAMA. RANGI NI RANGI TU. MBONA HUWAULIZI DAWASCO NA RANGI YAO YA BLUU? SHWA...............................INI
:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:😛eace:😛eace:😛eace::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Mpuuzi wewe!lete mada zenye mashiko au umekosa pesa ya gloves.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom