Maji aliyoahidi JK zimewekwa rangi za CHADEMA

Kwa hiyo ilo la rangi nalo umeona ni suala la kuleta hapa lijadiliwe?lina tija gani kwa taifa letu?kweli Tanzania ina watu wenye ignorance ya hali ya juu

Wewe ishia hapo hapo. Kwetu kwenda kunywa maji kutoka kisima chenye rangi ya cdm.ni sawa na kumywa sumu.
 
Ha ha acha kujitoa ufahamu wewe kodi zinalipwa na Watanzania Wote,

Mwanadiwani sidhani kama ni mzima, nilikuwa na mchukia bila sababu.anasema hamna hata senti 1 ya chadema, serikali inapokusanya kodi hajalishi kwamba ww ni ccm au chedema au wasiokuwa na vyama, na hiyo fedha ndiyo inatumika katika hiyo miradi.pole sana mwadiwani sikujua kwamba ww ni kichaa
 
kwa hiyo ndo maana mmeenda kupaka rangi ya kadima japokuwa hamjafanya chochote? mnachekesha kweli nyie saccos kutoka tengeru.

Tena wapita njia Wanasema eti maji yao.
Hapa kuna njama chama Njoo uone haya madudu tunayofanyiwa huku.
 
Last edited by a moderator:
Mwanadiwani sidhani kama ni mzima, nilikuwa na mchukia bila sababu.anasema hamna hata senti 1 ya chadema, serikali inapokusanya kodi hajalishi kwamba ww ni ccm au chedema au wasiokuwa na vyama, na hiyo fedha ndiyo inatumika katika hiyo miradi.pole sana mwadiwani sikujua kwamba ww ni kichaa

Cdm nyie si ndo waomba msamaha wa kodi wakubwa. Mnajifanya kila kitu ni cha kanisani. Sasa kimekula kwenu. Mbinu yenu chafu imeshashtukiwa
 
Wanzania tusipoacha siasa za kitoto tutaliangamiza taifa letu, petty politics have always been nonsensical. Hivi "rangi ya chadema ndo ipi?" Nyekundu, kijani, zambarau au ipi? Na je kama kweli ipo, inahusianaje na kupatikana kwa maji?

Bado nasema, watz tuna IQ ndogo sana!!!!! Take it or leave it!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kuna huu uzi hapa, umetupiwa jukwaani

Juzi saa 11:07 jioni Jiji Mwanza mjini vijana wa Green Gurd ya ccm wa 3 ambao ni Godfrey Ngalo, Abdala Hussein na Jeff Kwilasa, wakiwa na Polisi wawili ambao ni Kizito Kusi na Masumbuko Muganila wakiwa katika Noah No T 346 AFB nyeusi walimteka kijana Musa Mdede ambae ni Rais wa Tahliso na Rais wa Chuo Kikuu cha Bugando anaesomea udaktari mwaka wa 4 sasa.

Baada ya kumkamata amekuwa akihifadhiwa kwenye moja ya ofisi za nwenyekiti wa ccm Mwanza Ndugu Diallo tangu siku hiyo, huku mateso makali akiyapata, na leo ilikuwa inafanywa mipango aletwe Dar "atafutiwe" kesi.

Mpango mzima umeratibiwa kutokea Dodoma na Januari Makamba akishirikian na Anton Diallo, Ndubiangai, Paul Makonda, Juma Nkamia na Wilium Malecela

Lengo nikuhakikisha kijana hashiriki uchaguzi huo na hivyo kuvunja nguvu ya upinzani chuoni hapo.

Mpango huu utaendelea vyuo vingine kwa nguvu zote

Hutaki, Unaacha!

Jason Bourne

Hivi huku umeitwa na nani.
Ngoja watiwe akili. Hajui maadili huyu apelekwe jkt kwanza akafundishwe kuipenda nchi na chama tawala.
 
Uliyeleta maada hii huna akili, kuna mambo mengi ya muhimu kujadili na sio ujinga wako huu, shame on you.
 
chadema na upinzani wenzie sasa wameamua kuficha maovu yao kupitia ukawa, kwanza itambulike kuwa meadi kama huo si wa CCm wala chama flani, hiyo ni mali ya wananchi kama wananchi..

chadeMA kama chadeMA kupiga chata ni dalili tosha kuwa, hawana uhakika na wanachofanya kwa wananchi!

poor fighting strategies!
nani kakwambia chadema ndio wamepiga hilo chata?
 
tujue hizo fedha ametoa jk mfukoni mwake au ni za CCM au ni za kodi za wananchi.????
 
CHADEMA na viongozi wake ni watu wa ajabu kweli. Wanapenda sana kujisimika katika jamii (wapenda sifa).

Maji yamepatikana kwa sasa utawasikia CHADEMA na viongozi wake wakidai ndiyo wameleta. Wakati maji hayakuwepo, walikuwa wanasema, CCM imeshindwa kuleta maji katika kijiji hicho wakati serikali ya CCM ndiyo inakusanya kodi.

...hii nchi bila chadema, ccm mtagawana mpaka bahari mlivyo waroho. Acha tuwasifu chadema kwa angalau kuleta matumaini ambayo ccm hata mkipewa miaka 1000 hamuwezi fanya lolote la maana,we badala ya maendeleo ndo kwanza tunarudi enzi za utumwa...
 
Hakuna miradi ya ccm haoa pumbavu zenyuuuu! kodi zangu mseme miradi ya ccm,? hata mwana cdm anachangia kodi acheni upuuzi mwanadiwan na huyo mwenzio
 
Kwa taarifa tu ni kwamba ccm Pwani ina mashiko huko remote. Na kwa ufupi Sylvester Koka wa Kibaha mjini hakushinda ia saliti wa CDM alinunuliwa. Mpaka leo Koka hakubaliki hata mikutano michache ya wananchi anafanya kwa machale maana kuna maeneo akifika atapipolewa kwa mawe.
 
CHADEMA na viongozi wake ni watu wa ajabu kweli. Wanapenda sana kujisimika katika jamii (wapenda sifa).

Maji yamepatikana kwa sasa utawasikia CHADEMA na viongozi wake wakidai ndiyo wameleta. Wakati maji hayakuwepo, walikuwa wanasema, CCM imeshindwa kuleta maji katika kijiji hicho wakati serikali ya CCM ndiyo inakusanya kodi.

muda mwingine uwe unajielewa wewe, Chadema walete maji wanakusanya kodi ? We vipi ?
 
Inawezekana siku hizi hoja zimeadimika sana kiasi kwamba zimekuwa za kuokoteleza na kubumba tu.

Suala la rangi kwenye mradi huo wa maji umejaribu kuuliza aliyepaka rangi ni nani na kwa malengo gani,na kama mradi haujakabidhiwa shida ipo wapi sababu mwenye tenda si atafanya marekebisho kama anaona rangi aliyopaka haifai!
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Kwa akili hizi ipo siku utamnyima mmeo unyumba kwa madai kwamba amevaa pichu yenye rangi za CHADEMA! Hivi kweli kuna chama chochote cha siasa chenye hati miliki ya rangi?! Note: RANGI is not equivalent to BENDERA.
 
Hata Jf ina rangi za Chadema .......maandishi black, screen white, kuna red, blue .....sasa na hapa Mhame maana Chadema iko everywhere ni kama Oksijeni .........
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

sasa wewe kwan hununuagi nguo yenye rangi ya nyeupe au blue kisa hizo rangi ni za chadema?
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Hayo matanki hayatakua na maji au yatakua na maji yenye chumvi.

Unakumbuka visu vya Mahita?
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Lete picha gamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom