Maji aliyoahidi JK zimewekwa rangi za CHADEMA

Siyo njama tu, bali pia wanajenga mazingira ya ubaguzi kama kilivyo chama cha CHADEMA.

Kwanza mradi wa maji umefanywa na serikali ya CCM. Hakuna hata senti moja ya CHADEMA iliyochangia kwenye mradi.

Pili, Kama maeneo yote ambayo miradi imefanywa/inafanywa na serikali ya CCM ingekuwa inapaka rangi ya bendera ya CCM, nadhani nchi karibia yote ingekuwa imetapakaa bendera ya CCM.

Hilo suala lazima lifanyiwe kazi kama kweli wamepaka rangi ya bendera ya CHADEMA.
Ha ha acha kujitoa ufahamu wewe kodi zinalipwa na Watanzania Wote,
 
Siyo njama tu, bali pia wanajenga mazingira ya ubaguzi kama kilivyo chama cha CHADEMA.

Kwanza mradi wa maji umefanywa na serikali ya CCM. Hakuna hata senti moja ya CHADEMA iliyochangia kwenye mradi.

Pili, Kama maeneo yote ambayo miradi imefanywa/inafanywa na serikali ya CCM ingekuwa inapaka rangi ya bendera ya CCM, nadhani nchi karibia yote ingekuwa imetapakaa bendera ya CCM.

Hilo suala lazima lifanyiwe kazi kama kweli wamepaka rangi ya bendera ya CHADEMA.

Mpuuzi kweli wewe,kwani huo mradi una senti ya chama chakavu?
 
Ndugu, nadhani hujaelewa hoja yangu.

Yes, ndiyo maana huwezi kukuta bendera ya CCM kwenye miradi ya kitaifa kupitia serikalini.

Huna akili wewe,ushabiki ulionao ni wa kijinga.unadhani watz wote wajinga kama wewe!
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Tupe picha hapa tuone!
 
Yani kiukweli kuna kiongozi mmoja mkubwa tuu jina ('***) alikuja kuzindua huduma ya kupatikana maji (yatumike) basi akawa kafungua maji pale maji yakatoka kama kawaida" sku ya pili mhmhmmm fungua maji wapi tena wpi !!!
Wala sishangai ulicho sema.
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Nawe kapake rangi ya ccm au umezuiwa?
 
Si Maji Mkuu Nicas Mtei, maji ya #Maintarahamwe ni tope tu tena tope zito, wenyewe wanaita maji.

Ha ha ha ha ha ha rangi ya kijani? Ina maana ni uzee wangu au ni nini? Yaani siyajui maji ya serikali?
 
Last edited by a moderator:
Kuna huu uzi hapa, umetupiwa jukwaani

Juzi saa 11:07 jioni Jiji Mwanza mjini vijana wa Green Gurd ya ccm wa 3 ambao ni Godfrey Ngalo, Abdala Hussein na Jeff Kwilasa, wakiwa na Polisi wawili ambao ni Kizito Kusi na Masumbuko Muganila wakiwa katika Noah No T 346 AFB nyeusi walimteka kijana Musa Mdede ambae ni Rais wa Tahliso na Rais wa Chuo Kikuu cha Bugando anaesomea udaktari mwaka wa 4 sasa.

Baada ya kumkamata amekuwa akihifadhiwa kwenye moja ya ofisi za nwenyekiti wa ccm Mwanza Ndugu Diallo tangu siku hiyo, huku mateso makali akiyapata, na leo ilikuwa inafanywa mipango aletwe Dar "atafutiwe" kesi.

Mpango mzima umeratibiwa kutokea Dodoma na Januari Makamba akishirikian na Anton Diallo, Ndubiangai, Paul Makonda, Juma Nkamia na Wilium Malecela

Lengo nikuhakikisha kijana hashiriki uchaguzi huo na hivyo kuvunja nguvu ya upinzani chuoni hapo.

Mpango huu utaendelea vyuo vingine kwa nguvu zote

Hutaki, Unaacha!

Jason Bourne
 
Wana JF Salamu sana.

... Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

............

Duh! Afadhali, kwa kichwa cha habari nilifikiri maji yametiwa rangi za CHADEMA! hapo ingebidi lazima yatibiwe kuondoa sumu, uchafu na magonjwa.
 
CHADEMA na viongozi wake ni watu wa ajabu kweli. Wanapenda sana kujisimika katika jamii (wapenda sifa).

Maji yamepatikana kwa sasa utawasikia CHADEMA na viongozi wake wakidai ndiyo wameleta. Wakati maji hayakuwepo, walikuwa wanasema, CCM imeshindwa kuleta maji katika kijiji hicho wakati serikali ya CCM ndiyo inakusanya kodi.

Sasa ulitaka CDM wajisimike kwa mafisadi??
Elewa hii ndiyo tofauti halisi CDM kwa wananchi CCM kwa mafisadi.
 
Wana JF Salamu sana.
Wakati wa kampeni zake za kuingia ikulu JK aliahidi maji na umeme kwenye kijiji kimoja kilichopo mkoa wa pwani.

Kweli ikatangazwa tenda akapatikana mkandarasi. Mchakato ukaanza na kazi imefikia mwishoni mwishoni.

Maajabu yaliyopo ni kwamba lile tenk kubwa la kupokelea maji ili yasukumwe kwa wanakijiji limepakwa rangi za Chadema.

Ina maana rais atakapoenda kufungua hayo maji atakuwa anazindua mradi wenye rangi za Chadema.

Kwenye kuuliza kilichosababisha kufikia huku hakuna anayefahamu.

Hivi nyie viongozi tokea shina hadi serkali kuu inakuwaje hata msitupie macho kwenye miradi mikubwa kama hii?

....... nyie waosha vinywa matusi sitaki. ............

Kwa hiyo ilo la rangi nalo umeona ni suala la kuleta hapa lijadiliwe?lina tija gani kwa taifa letu?kweli Tanzania ina watu wenye ignorance ya hali ya juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom