Tanzanian troops, part of a 1,500-strong African Union force, are training for an operation to retake the rebel island of Anjouan.
Simulating beach landings on the small island of Moheli, Comoros, the Tanzanians inspired more laughter than awe as they clumsily got off their dinghies. Some dropped their rifles into the waves in the process.
Others simulating a defensive tactic gathered near a wall but it was an uphill task for many, who were clearly out of breath after a short sprint.
Luckily there is no resistance on the beach, a Comoros military official commented. One strategically placed machinegun and they all would have been dead.
Nilishaposti protocol za AU ambazo Comoro ni signatory zinazoruhusu military intervention.Nikaposti na press report ya tamko la AU kuchoshwa na endless diplomatic back and forthing na declaration yao kuanza kutumia military means.
Nimetoa mpaka PDF ya protocol HIYO ya AU.
GT do your reading.
..upuuzi mtupu,sijui tunatafuta nini huko,mambo kama haya ndio yanatutia umaskini zaidi,acha wachapane ili waheshimiane,kama hiyo serikali inataka kumpiga huyo jamaa na haiwezi acha iondolewe tuu au iende kukodi majeshi ilipe pesa!
Mkuu GT, from what i know--just a general understanding, ni kwamba Membe alikuwa akiongoza juhudi za upatanishi katika AU steering committee katika Peace and Security. Hii ni kwa sababu hatua ya mjadala haikuwa hatua ya ki utendaji kijeshi, bali ya wanasiasa wa nje--something which suits Membe better than Malima au Mwamunyange.
When it came to utendaji wa ki operesheni, imeamuliwa sasa kuwa CDF atakuwa msemaji mkuu wa updates za operesheni, (CFD Kasema jana) ambapo kama utakumbuka, Membe hajawa msemaji toka operesheni hii ianze.
Mkuu GT, Msingi wa haya maswali haueleweki, je, unatafuta legitemacy ya AU kuamua kupeleka majeshi Comoro au Tanzania kukubali kuchangia majeshi?
I strongly distaste and condemn the brutal torturing of defenseless innocent citizens by our army!
Code X,
Mimi binafsi sijapitia jeshi la Tanzania na sijui mwenendo wao wa mafunzo lakini naamini katika vitu wanavyofunzwa kuogelea ni lazima kama certain schools zina somo la kuogelea kwa wanafunzi wao ndio itakuwa jeshi la nchi?
Ukiangalia nature ya Op yenyewe ni kuwa wanashambulia kwa kutokea majini kwenda nchi kavu alafu unasikia vitu kama walikuwa wanashindwa kuhimili mikimiki ya mawimbi na wengine wakawa wanadondosha silaha zao majini, that leaves a lot of questions kuhusu utayari wa jeshi letu.
Kitila,
Evidence please.I also detest brutality, especially when the receiving end is defenceless civilians.
"DEFENCE wamesema wataamua info zipi tutapata"
You expected that, didnt you, GT?
Comoran and Tanzanian African Union soldiers hit a man suspected of collaborating with Mohamed Bacar
A Tanzanian African Union soldier hits a man suspected of collaborating with renegade Anjouan leader Mohamed Bacar
picha nyingine zaidi ziko kwenye pages kadhaa nyuma.
Ica,
Hiyo pic siyo evidence one way or the othere.How can you tell that he is not a Bacar soldier?
Yah lakini its abit too late
lakini DEFENCE walitakiwa wa coordinate na FOREIGN(akina Mwambene) ili kuwe na uniformity ya flow of information
sasa wasi wasi wangu ni kuwa FOREIGN walishaanza kuonyesha tendency za ku BULLY hapo awali sidhani kama wanajeshi watakubali kushare nao platform
Cha ajabu ni kuwa IKULU kupitia SALVA nao wako kimyaaa
anyway I cant wait tarehe 30 kuona hiyo MISSION ACCOMPLISHED kama alivyoahidi Membe
Ica,
Hiyo pic siyo evidence one way or the othere.How can you tell that he is not a Bacar soldier?
Pundit, seems you understand nothing about prisoners of war and the geneva convention in regards to their treatment.
Main mission mbona ishakuwa accomplished Mazee.Washamtoa Bacar.Kilichonbaki ni kuwatrain wanajeshi wa Comoro na kukipa kitu.Wakitaka kufanya kama Wamarekani kuweka kambi huko watakuwa wanachemka.
Why do you say that, I am always eager to gain some more.Elaborate.