Majeshi ni kwa ajili ya form 4 failure tu

Nimecheka sana,kwa taarifa yako kama huelewi....ugunduzi wa mambo mengi tu ulianzia jeshini(hapa naongelea-"technology world wide",aidha fanya utafiti utagundua kwa hapa kwetu tunawataalam waliobobea katika ngazi zote za elimu kuanzia degree ya kwanza na kuendelea waliopo katika majeshi yetu,siyo kweli kazi hizo haziwafai wasomi....kasi ya mabadiliko na kukuwa kwa teknolojia kunahitaji watu waliopevuka kielimu na majeshi yetu yanao wasomi wengi tu walio bobea katika fani mbalimbali,mawazo ya wanaowaza kama unavyowaza wewe kwamba kazi hizi hazihitaji wasomi ni mawazo hasi( its just a myth....),tatizo hatusomi vitabu na kufuatilia mambo....."The military(World wide) has played a major role in what we call modern technology,in other words there is no way the military could achieve this without professionalism....."kwa hiyo kazi hizi ni za wasomi kaka...."think twice"

Ngoja nkaifanyie kaz degree yang huko depo nkitoka huko nitakutafuta mkuu ww ni zaid ya msomi
 
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

nani unamuuliza nenda ofisini kwao kawaulize watakujibu
 
sasa kama mmemuelewa, kwa nn hamfafanui kuwa wapo wenye elimu na utaalam wwao, wanapeta kivyao, wwe mwenye kadgree kako, wa std seven kako, ka zero kako f4 utaaishia kubeba silaha..na kupewa kamshiko ka kukuliwaza, lkn hoja ya jamaa mleta uzi yuko biyee
 
Nimecheka sana,kwa taarifa yako kama huelewi....ugunduzi wa mambo mengi tu ulianzia jeshini(hapa naongelea-"technology world wide",aidha fanya utafiti utagundua kwa hapa kwetu tunawataalam waliobobea katika ngazi zote za elimu kuanzia degree ya kwanza na kuendelea waliopo katika majeshi yetu,siyo kweli kazi hizo haziwafai wasomi....kasi ya mabadiliko na kukuwa kwa teknolojia kunahitaji watu waliopevuka kielimu na majeshi yetu yanao wasomi wengi tu walio bobea katika fani mbalimbali,mawazo ya wanaowaza kama unavyowaza wewe kwamba kazi hizi hazihitaji wasomi ni mawazo hasi( its just a myth....),tatizo hatusomi vitabu na kufuatilia mambo....."The military(World wide) has played a major role in what we call modern technology,in other words there is no way the military could achieve this without professionalism....."kwa hiyo kazi hizi ni za wasomi kaka...."think twice"
Mkuu, hii inaeleweka lakini mtoa mada alikuwa akizungumzia kwa nchi yetu na hasa ngazi ya chini kwa maana huko ukiwa na alama nzuri huajiriwi. Ila kuna wasomi ambao hujiriwa si kwa kuanzia ngazi ya chini.
 
Mambo hubadilika unaweza Kwenda na degree ukakosa labda iwe ya sayansi ss ww ya maua unawapelekea watakuweka wp?
 
Sawa mkuu, kwani si kila msomi basi lazima apate ajira yoyote tu maadam kasoma!
 
Acha ujinga ww mawazo mgando hayo ivi unajua kama kuna watu hawalali ili we uishi kwa amani na usalama waki kila.siku afu eti hawana elimu....na uende ata toi boya kweli ww
 
Nimecheka sana,kwa taarifa yako kama huelewi....ugunduzi wa mambo mengi tu ulianzia jeshini(hapa naongelea-"technology world wide",aidha fanya utafiti utagundua kwa hapa kwetu tunawataalam waliobobea katika ngazi zote za elimu kuanzia degree ya kwanza na kuendelea waliopo katika majeshi yetu,siyo kweli kazi hizo haziwafai wasomi....kasi ya mabadiliko na kukuwa kwa teknolojia kunahitaji watu waliopevuka kielimu na majeshi yetu yanao wasomi wengi tu walio bobea katika fani mbalimbali,mawazo ya wanaowaza kama unavyowaza wewe kwamba kazi hizi hazihitaji wasomi ni mawazo hasi( its just a myth....),tatizo hatusomi vitabu na kufuatilia mambo....."The military(World wide) has played a major role in what we call modern technology,in other words there is no way the military could achieve this without professionalism....."kwa hiyo kazi hizi ni za wasomi kaka...."think twice"

Daaaah unakuja kuja safi utadumu kwenye chombo watu hawalali ili ------ huyu aende toi afu et hawana elimu afu haya ndo majitu yenye elimu za kijinga jinga halafu hayana ajira yamekalia majungu tuuu
 
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

Hakuna askar wa namna iyo ata ukimkuta aliye stafuu bado ananidhamu za kiasikar na kuheshi askar wa jeshi lolote ana jua misingi ya kaz yake...na kama we ni askar hadi hapo ulipo unaweza kutuuza kwa adui hufai
 
sasa kama mmemuelewa, kwa nn hamfafanui kuwa wapo wenye elimu na utaalam wwao, wanapeta kivyao, wwe mwenye kadgree kako, wa std seven kako, ka zero kako f4 utaaishia kubeba silaha..na kupewa kamshiko ka kukuliwaza, lkn hoja ya jamaa mleta uzi yuko biyee

Kwani kazi ya askar ni nin??? Siraha ni moja ya majukunu yake mi nijuavyo kama ni kuzuga zuga bac wangekuwa wanaensa na magitaa duuuh

Siraha ni moja ya majukumu ya kAzi za askar mkuu
 
Acha ujinga ww mawazo mgando hayo ivi unajua kama kuna watu hawalali ili we uishi kwa amani na usalama waki kila.siku afu eti hawana elimu....na uende ata toi boya kweli ww

kutolala kwa wanajeshi ili wengine wapate usalama ni kichekesho kwa dunia ya leo, hujui huo ni mgawanyo wa kazi? wavuvi wanaokesha majini ili upate samaki?, manesi wanaokesha na wagonjwa? wahandisi wanaokujengea barabara na kutengeneza mitambo yako? nao madaktari wanasoma miaka mingi kuja kukutibu? utalinda nchi bila kula? usipotimiza wajibu wako tunaweza kuvamiwa na kukosa amani, lakini mkulima akigoma wote pamoja na ww askari utamudu chochote? ww nikupe point moja tu, mnakesha mkiua tembo na kusomba mbao na magogo ya nchi!
 
Haaaa haaaaa co kweli haya ni mawazo mgando mi ninacho jua ktk iyo mikesha yao wanafunfishwa uvumilivu na co kusafirisha magogo ya nch
 
Jeshi gani unalipwa 1.5 una form four mbaya je wenye elimu zaidi yako si wanapata milioni 5 na kue delea mkuu
Watakuwa jw maana nina mchizi wangu hana cheo lakini mwisho wa mwezi akichukuwa marupurupu yote ni kama m1.2
 
uko sawa kabisa mkuu.. jwtz ndo jeshi lenye mishahara mizuri mno wa askari wake kuliko majeshi yote nchini. ukiingia na form 6 tu unakula maisha
 
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

Weweee...!!! Unazani form six atalala matopeni ama atakaa wiki sita bila kulala wakati anaweza kwenda chuo..!!!! Ukifaulu vizuri unakuwa na fursa za kutosha kuendelea na masomo mkuu...!!! So unakuta waliofaulu wanakuwa wako shule mkuu kipindi usahili unapoanza...!!!
 
Back
Top Bottom