Majeshi ni kwa ajili ya form 4 failure tu

Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.
Hebu nitajie ni sector ipi hapa Tz ambapo hakuna ukiritimba wala urasimu na tena kuna wasomi KAMA WEWE. Halafu wewe ni msomi wa kiwango gani kwani.
 
wengi wamekurupukua hawakujua mzizi wa hoja husika ni upi. Leo nikisema Chuo kikuu cha Dar es salaam kuna ukiritimba uliokithiri nitakuwa simaanishi kwamba pale hakuna wasomi! Ukiritimba ni jambo moja na usomi ni jambo jingine ila msomi makini hawezi kuridhika kukaa sehemu ambayo kuna ukiritimba uliokithiri.
Sawa. Ila hebu mtusaidie tujue ni taasisi gani hapa tz haina ukiritimba wala urasimu. Hebu mtujuze ili vijana wengi WASOMI kama MOLEMBE waombe huko.
 
Huyu ditanzani elimu ya kijeshi miezi mitatu nisawa nayamtu alie soma mlimani miaka minne ndoomaana mtu akiajiriwa jeshini elimu wanapokea vyetivyake tu hawapokei elimu yake wao wanampayakwao unakuta kama nimhandisi uraiani alikuwa anajenga daraja kwamuuda wa miaka mitatu akiwajeshini atakiwa kutumia siku tatu usiwadharau angalia foleni yawasomi wsnao ombakazi yajeshi
 
Mtoa mada haelewi anachosema wala maana ya jeshi nina hakika hajawah kuwa mwanajeshi na pia atakuwa na elimu ndogo sana ...jeshi haliwezi kuendeshwa kama bunge au shule na hilo jeshi analotaka halipo popote Duncan
 
Ndo maana mnaonekana majeshi ni vilaza! Kwani huo mnaoukataa ndo ukweli japo unauma na bahati mbaya ukishaajiliwa kwenye hayo majeshi na hasa JWTZ unakutana na visitahili Vya vyeo. Unajiona umemaliza, unabweteka, unatumika kwa manufaa ya wenye sitahili zaidi yako(wakubwa zako) unaendelea kuishi kwa kujipendekeza hata dhidi ya Wenzako. Askari wa marekani na wale wa Tanzania na sawa na mbingu na nchi. Mifumo na masilahi ni tafauti kama mchezaji wa mchangani na wale wa daraja la kwanza.
 
Ipo siku utaujua ukweli badala ya kujifanya unajua saaana kuandika.
 
Nimecheka sana,kwa taarifa yako kama huelewi....ugunduzi wa mambo mengi tu ulianzia jeshini(hapa naongelea-"technology world wide",aidha fanya utafiti utagundua kwa hapa kwetu tunawataalam waliobobea katika ngazi zote za elimu kuanzia degree ya kwanza na kuendelea waliopo katika majeshi yetu,siyo kweli kazi hizo haziwafai wasomi....kasi ya mabadiliko na kukuwa kwa teknolojia kunahitaji watu waliopevuka kielimu na majeshi yetu yanao wasomi wengi tu walio bobea katika fani mbalimbali,mawazo ya wanaowaza kama unavyowaza wewe kwamba kazi hizi hazihitaji wasomi ni mawazo hasi( its just a myth....),tatizo hatusomi vitabu na kufuatilia mambo....."The military(World wide) has played a major role in what we call modern technology,in other words there is no way the military could achieve this without professionalism....."kwa hiyo kazi hizi ni za wasomi kaka...."think twice"

Mbona umeenda tofauti na mada mkuu, kweli duniani kuna shida
 
Huyu ditanzani elimu ya kijeshi miezi mitatu nisawa nayamtu alie soma mlimani miaka minne ndoomaana mtu akiajiriwa jeshini elimu wanapokea vyetivyake tu hawapokei elimu yake wao wanampayakwao unakuta kama nimhandisi uraiani alikuwa anajenga daraja kwamuuda wa miaka mitatu akiwajeshini atakiwa kutumia siku tatu usiwadharau angalia foleni yawasomi wsnao ombakazi yajeshi

Hehehe, mkuu nenda chuo acha uvivu
 
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

Mkuu hao wenye elimu ndogo wataweza kurusha angani Mig21? wataweza kuukabili ulimwengu wa sayansi na tekno? au ni ukiritimba upi unaousemea? basi hebu tutajie angalau sekta moja hapa nchini isiyo na ukiritimba.
 
jesh lina wasomi shida kijana anataka miaka kumi kawa jeneral kisa msomi!ukiuliza kasoma nn eti uchumi au biashara au elimu sidharau ila nivema tufanye km nchi za watu hakuna kuruka cheo,unakuja na shahada unaanza na u private,koplo,sajent,sajent taji nk mpaka ujenerali hakuna kusema mm naanzia uluteni usu

Aaaah taratibu mkuu hapo ndo unaanza kuharibu
 
Jeshini kupanda kunategemea juhudi ya kazi zaidi kuliko vyeti.Hebu fikiria wewe polisi una PHD unaambiwa ukimbize jambazi sugu unajidai umesoma hivi unategemea yupo wa kukubembeleza na kukulea lea? Nani Akupandishe uwe IGP kwa PHD yako isiyoweza kimbiza na kukamata kibaka hata mmoja toka uipate?

Kwahiyo afande Mangu alimkimbiza jambazi gan?
 
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

Waliosoma WANAHESABIKA Ila MIPOPOMA Ndiyo IMELUNDIKANA Humo.
 
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

Unatumia kiroba original?
 
Back
Top Bottom