- Thread starter
- #161
ATOTO, Nakubaliana na ww, wachangiaji wengi hawajamsoma, wanafikiri ameyaponda majeshi yetu kuwa hayana wasomi. Anachokiongelea mtoa mada ni kwamba unaweza kuwa na elimu nzuri tu, Diploma, degree, masters etc lkn kupanda cheo kulingana na elimu yako kuna ukiritimba mkubwa sana hasa kama huna god father na hujui kujipendekeza kwa maafande.
Nashukru kwa kunielewa mkuu wengi wamesoma tittle wakaishia kuponda bila kujua na kuielewa hoja.