- Thread starter
- #121
Mkuu acha maarifa mafupi kwa kujifanya mjuzi wa lugha,hebu nikuulize kwa kipimo cha akili yako -maana tukijadiliana kama watu wazima hatuelewani.
Mimi ni raia wa kawaida tu,nahisi jeshini asilimia 99 wanafanya au kutimiza majukumu yao kwa kufuata amri si utashi wao,sasa utakapo amriwa kufanya kazi fulani ni ukiritimba gani au urasimu gani unakuzuia kutimiza wajibu wako?
Nami nikuulize swali je, kila amri ni halali mfano ukipewa amri ya kuua mtu bila kosa utaua kwa sababu amri imetoka juu?