Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Yapaswa kumuelewa mleta uzi.Mnajikakamua na kuzuga wakati ukweli mnaujua?Mnaobishana naye someni uzi tena na tena!
Upo sahihi mkuu! Japo wengi hawakukuelewa. Uzowefu wa 10years unaongelea unachokijuwa. Majibu ya wachangiaji hayaendani na mada yako.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Mtoa mada bila shaka utakuwa umepita jeshini kwa mujibu wa sheria tu.
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

kwa hiyo umekuja na ka degree kako ukaaika nacho huko mtaani ukaona hakukufai ndio unatafuta njia ya kutokea kwa kupitia jeshi? hii sio nidhamu hata kidogo kwa raia wa tanzania kwa jeshi letu, unajua juzi polisi na magereza walisail watu wenye taaluma mbali mbali kukiunga nao? umepitia jkt ukagundua kuna wataalam gani wapo huko? subiri muda ufike ukigundua jeshi lina wataalam wa kutosha ndio utakuja kuomba radhi hapa.
Basi nchi hii kuna sehem hamna ukiritimba!!!!!!!?ni kwamba umekuwa mvivu tu kutafiti.
Ukajiridhisha na sehemu moja tu,embu endelea na kautafiti utagundua kitu kingine sehemu nyingine.waulize madokta.
naomba nifahamishwe ni mambo gani yamefanywa na wasomi waliopo kwenye majeshi ya tanzania??
ukishajua ili iweje? mkuu mbona tunatafuta vitu vilivyo juu ya uwezo wetu? angaikia kula yako na watoto mengine waachie wenyewe.
nataka niwahimize wanangu wasome wawe wasomi jeshini maana inaelekea wanafanya mambo makubwa na mazuri waje wanisaidie baba yao uzeeni.. inshallah.... pia ikiwezekana na mimi niende huko kutafuta kula ya familia yangu....
ila kama hujui waliyoyafanya usijali mkuu wapo wanaojua watanifahamisha

wewe elimu yako imesaidia nini nchi hii
wanayoyafanya ni ulinzi na usalama wa nchi na mipaka yake, sasa kuwa wanatimizaje azma hiyo hayo mengine! ukienda huko jua unakuwa mlinzi wa jinsi yeyote ile, ukikaa ofisini utajua unalindaje, ukiwa field pia utajua unalindaje mkuu, nawasililisha.
Na form 4 yangu hii ya mwisho ila kwa mwezi naingiza 1.5m