Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Wengi hawajaelewa nini maana ya ukiritimba ndo maana hata kuchangia wamekurupuka
Wengi ni wanajeshi form four
Wengi hawajaelewa nini maana ya ukiritimba ndo maana hata kuchangia wamekurupuka
futa kauli yako.unatumia cm na kucheka cheka coz wanaume wako mipakani wanakulinda.jwtz na majesh mengine lazima yaheshimiwe.hebu assume nw ungekuwa kongo au kenya tu hapo.tuache dharau kuna vi2 ving sana vya kuongelea mbali na jeshi.
Basi kama wewe msomi sana si utafute kazi ya kisomi zaidi, halafu mimi na cheti changu cha form four failure nitakuja kukupiga tanganyika jeki na kukusweka lupango siku ukibaranganya huko kwenye kazi yako ya kisomi...
By the way, hata ukidharu na kuwachukia vipi wanajeshi/polisi/magereza , mwisho wa siku wakipita lazima mwili ukushtuke. Kama unabisha hebu baranganya kidogo uone who is the dady...
wewe sio askari hata kidogo acha fix
Kama sikosei huyu ni mwalimu wa sayansi kimu darasa la tatu.
Siku kikinuka ndio atajua vizuri elimu ya wanajeshi.
mkuu unatumia kinywaji gani??? nashukuru kwa kumpa darasa mtoa mada
Nimecheka sana,kwa taarifa yako kama huelewi....ugunduzi wa mambo mengi tu ulianzia jeshini(hapa naongelea-"technology world wide",aidha fanya utafiti utagundua kwa hapa kwetu tunawataalam waliobobea katika ngazi zote za elimu kuanzia degree ya kwanza na kuendelea waliopo katika majeshi yetu,siyo kweli kazi hizo haziwafai wasomi....kasi ya mabadiliko na kukuwa kwa teknolojia kunahitaji watu waliopevuka kielimu na majeshi yetu yanao wasomi wengi tu walio bobea katika fani mbalimbali,mawazo ya wanaowaza kama unavyowaza wewe kwamba kazi hizi hazihitaji wasomi ni mawazo hasi( its just a myth....),tatizo hatusomi vitabu na kufuatilia mambo....."The military(World wide) has played a major role in what we call modern technology,in other words there is no way the military could achieve this without professionalism....."kwa hiyo kazi hizi ni za wasomi kaka...."think twice"
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.

naomba nifahamishwe ni mambo gani yamefanywa na wasomi waliopo kwenye majeshi ya tanzania??
Hata ukielewa itakusaidia nini?Wenye sababu za kuelewa wanaelewa lakini wewe hayakuhusu....tuanzie kwako tueleze wewe ulishafanya nini hapa Duniani cha kukumbukwa siku ukiondoka hapa Duniani?
Basi kama wewe msomi sana si utafute kazi ya kisomi zaidi, halafu mimi na cheti changu cha form four failure nitakuja kukupiga tanganyika jeki na kukusweka lupango siku ukibaranganya huko kwenye kazi yako ya kisomi...
By the way, hata ukidharu na kuwachukia vipi wanajeshi/polisi/magereza , mwisho wa siku wakipita lazima mwili ukushtuke. Kama unabisha hebu baranganya kidogo uone who is the dady...
John austine moja ya wanafalisafa wa sheria duniani pia alikuwa mwanajeshi katika falisafa zake za kijeshi alisema jeshini ni mahali pa strictly and obidience wewe ukitaka kuleta harakati ujue ni mamluki na haufai kuwa mwanajeshi.maana utaanza kuhoji kwanini wameniambia nyumaaaa keuka mguuuu pande.j
mtoa mada ana hoja lakini wachangiaji wengi baada ya kumsikia wameamka na mikuki badala ya kushika kalamu na karatasi! kuna wasomi wengi na wazuri humo, lakini hoja ushiriki wao, kutumia elimu hiyo kuleta tija kwa taifa, tumepigana vita nyingi, wakati wa amani nao ulikuwepo na upo, wanajeshi wametumikaje? leo barabara zetu zinajengwa na wanajeshi wa kichina, vifaa vyetu vinasubiri kuoneshwa kwenye sikukuu! nenda police ndo kabisa, elimu hiyo imesaidiaje kuzuia uharifu nchini?
Chukua LIKE mkuu
hahaaaa!!! kuna kaukweli hapa,
nina ma friend mwanajeshi, anayoyaongeleaga kwakweli mmmh!!
mtoa mada mm nimekuelewa japo mie naona km watu wamepanik na kugoma kuelewa lile la msingi uliloliongelea.
Kuongea ni haki ya mtu, lakini haki bila mipaka ni chanzo cha uvunjifu wa amani.mi naona ungefanya utafiti kwanza kabla ya kutoa pumba zako. Kwa mtazamo wako wewe jeshini wapo form four tu? Nenda pale chuo cha polisi kilwa road au nenda chuo cha magereza ukonga utawakuta wanaofundisha elimu ya sheria halafu jiulize hao watakuwa ni form four,nenda kambi ya general A. Twalipo ukawaone wanaosoma rada pia jiulize watakuwa na elimu gani.Hebu basi jaribu kuacha huo umbumbumbu wako na kuzalau kazi za wenzako. Mimi nafikiri kwa post yako wewe utakuwa ni kilaza tu na kujiona wewe ndio msomi.huu ni ubwegest jaribu kuwa na adabu kwa wengine hata kama kwenye familia yenu wewe ndio msomi peke yako