nelaizer
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 818
- 284
hapo umenena vyema kabisa, na pia watu wanasahau kuangalia positive side ya kutedwa pengine unaepuka majanga na kimeo
Umesema vema pia,everything happens for a reason sio unaliiia tu pengine Mungu kakuepusha na kitu