Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

My mim binafsi naona sie tunatizo la tukiwa na mtu tunahamishia akili, upendo wote, hisia nk. hii ndio inatumaliza.

Binafsi na amin binti ukijikubali na ukaiambia nafsi yako "nimechoka, nasimama mwenyewe nifanya mambo yangu hadi wakati ukifika nitapata mtu sahih" Amin usiamin. kwanza roho yako itasuuzika, then utajikuta unajiamin na hakika watatokea wanaume lukuki itakuwa kazi yako kuchagua nani ni sahihi kwako,

wanawake wengi tukitendwa kidogo tunalia miaka 2, unakonda bila sababu kisa nin? wanaume walivyo wengi ivi kha! kitu cha msingi nikujiamin na kuamin wew ni mwanamke kweli, ambapo hata asipokuwa yeye kuna mwingine atakuona, hahahaaaaa! nicheke mie.

mambo ya kulia kanitenda!, kanitenda! ndio tunawapa misifa hawa viumbe wasio bebeka, Hakuna kulia mtu akikutenda leo, hakikisha kesho anakuona tofauti na alivyokuacha, kwa maana akuone unapendeza na unafuraha iliyopitiliza hy peke yake ni revenge hawez kumtenda mwingine.

lakin pia akikutenda aliepita haimaamishi anayekuja nae anakutenda kama unadhani ni mtu sahih mwonyeshe mapenzi kwel, mfanye awe na aman na uhuru wa kwel, ili asije akajikuta anakuacha kwasababu ulimfanya kuwa muhanga wa mahusiano yako yaliyopita, jambo la msingi ni kuwa na tahadhari na vibazaz ambavyo vikijua bint umetendwa ndio vinakuja mbio kawa wanaume kwel kujifanya kukufariji kumbe ujinga mtupu.

ngoja niishie hapo kwanza.

Tatizo moyo unauma sana...
 
ukitendwa unafuta vumbi unasonga mbele tatizo wengi wakitendwa lawama wanapeleka zaidi kwa mtendaji hajichunguzi yeye wapi alikosea ili uhusiano unaofata asitendwe tena ni hayo tu

hapo umenena vyema kabisa, na pia watu wanasahau kuangalia positive side ya kutedwa pengine unaepuka majanga na kimeo
 
mapenzi sio uhai

jifunze kulet it goo

wala hutakua na stress yakija poa yasipokuja twende

enjoy life remember maisha sio milele

Theory yake simple ila practical yake balaa, hapa kuandika unabofya keyboard tu ila ikifika practical ya mapenzi hata jf hutakumbuka tena hasa nyie wadada ndo kabisaa.
 
mi naliaga kama nilimpa papuchi lakini kama sikumpa
HATA AANDIKE GAZETI NAMUONA ---- tu
kwani shingapi.......

sililiii mtu hata sekunde labda tu NIMEMPA PAPUCHI

Haaa ukimpa papuchi ndio unalia???mimi nisipotoa nalia ila nikitoa ata uniache kwa tarumbeta powa tu
 
Haaa ukimpa papuchi ndio unalia???mimi nisipotoa nalia ila nikitoa ata uniache kwa tarumbeta powa tu

Kwani ukimpa anaondoka nayo hadi ulie? Si utamu wako kakuachia?

Mapenzi yanauma nyie...
 
treat mapenzi kama 'perfume'
usijaribu kuya treat kama chakula....

there is more in life than just 'relationships'

asante ila mioyo (sijui ndo wingi wa moyo)... nayo inatofautiana. wengine mapenz ni kila kitu na kama uliwahi kuwa na mpenz mnaependana nafikiri utaelewa hili.
 
mi naliaga kama nilimpa papuchi lakini kama sikumpa
HATA AANDIKE GAZETI NAMUONA ---- tu
kwani shingapi.......

sililiii mtu hata sekunde labda tu NIMEMPA PAPUCHI

My ukwel kutendwa na mtu uliempa papuchi inauma ila kama ilikuwa bado huyo mim hanitendi nahakikisha atajitenda yey au nitamtenda mim kama nitadhamiria, vinginevyo apae zake hukoo
 
Relationship siku hizi zimekua simple sana..watu hawapo serious tena.. Drama nyingi sana. Don't expect too much from it..
Amini usiamini watu hawapo serious tena,

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

na majeruhi wanazidi kuongezeka! expect unexpected (@nyani ngabu nipo sahihi hicho kiinglish?)
 
asante ila mioyo (sijui ndo wingi wa moyo)... nayo inatofautiana. wengine mapenz ni kila kitu na kama uliwahi kuwa na mpenz mnaependana nafikiri utaelewa hili.

wahindi wana msemo unasema 'mioyo ina kichaa'
nakuelewa sana....usisahau hatuwezi kujizuia ku fall in love
sababu ku fall in love ndio moja ya vitu vinavyotufanya tuwe binadaamu
 
Theory yake simple ila practical yake balaa, hapa kuandika unabofya keyboard tu ila ikifika practical ya mapenzi hata jf hutakumbuka tena hasa nyie wadada ndo kabisaa.

aiseee inagemea mtu na mtu
na kama hujifunzi kwa yaliopita kila siku utalia

jifunze yakitokea tena yasikuumize
 
Machungu yanatofautiana......
Ila sijawahi kata tamaa kiivyo

unapokata tamaa unajizibia ridhki. pengine mungu amekuandalia mtu mwema zaidi ya huyo aliekutenda. kukata tamaa ni mwiko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom