Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

brenda18 umeniacha hoi...
Nilidhani wengi wa wanawake wana mtizamo kama masai dada, akitoa papuchi then akaachwa anaumia zaidi, lakini kama akiachwa kabla ya kuonjesha tunda haumii sana...nilidhani hiyo ndio principle ya wengi, kumbe wapo wanaoumia wakiachana kabla ya kupeana mgegedo...#terrible (in-french-accent)

Hahahaa mi nahisi anachangamsha jamvi huyu lol
 
Last edited by a moderator:
Mambo?
Ni matumaini yangu sote tumeuanza mwaka vizuri. Wagonjwa tunawaombea mpone haraka kabla hatujaimaliza January, inshallah.
Mapenzi matamu lakini machungu, asilimia kubwa tumewahi kuwatenda ama kutendwa na wenzi wetu. Wengine tumekuwa wabishi hata tukitendwa tunapenda tena.

Tunalia tunanyamaza lakini tunarudia yaleyale. Hapa naomba tusaidiane kwa waliokata tamaa ya kupenda, wanaoona mapenzi machungu na kuhisi mapenzi hayapo kwa ajili yao tena. Je tukitendwa ndio iwe mwisho wa kupenda? ni sahihi kukata tamaa mara baada ya kutendwa mara moja au mbili?
kuna namna yoyote ya kuzuia tusitendwe?

Tufanyeje jamani? kadri siku zinavyoenda mapenzi yanazidi kuwa machungu, hadi nakihurumia kizazi kijjacho. Nahisi kizazi kijacho kitaishia kupenda midoli na wanyama na si binadamu wenzao tena.

Hapo kwenye red tu, malipo ni hapa hapa duniani!! Ukitendwa lazima utendwe tu unless umtende mtu ambaye alikuwa na haki ya kutendwa!! Hivyo tu kama umekubali ulitenda basi vumilia kutendwa mpendwa no way you can ran from this na mbaya zaidi hutokea tu without to plan!!!
 
brenda18 umeniacha hoi...
Nilidhani wengi wa wanawake wana mtizamo kama masai dada, akitoa papuchi then akaachwa anaumia zaidi, lakini kama akiachwa kabla ya kuonjesha tunda haumii sana...nilidhani hiyo ndio principle ya wengi, kumbe wapo wanaoumia wakiachana kabla ya kupeana mgegedo...#terrible (in-french-accent)

Mshenga nieleweshe imekuaje terrible wakati waelewa watu tunatofautiana?????
 
Last edited by a moderator:
Mshenga nieleweshe imekuaje terrible wakati waelewa watu tunatofautiana?????
hapo kwenye kutofautiana tu mshenga, umemaliza...
binadamu kweli wanatofautiana...!
...ningekuwa rafiki yako then tukafall aisee ningefurahije..teh!!
 
Hahahaa babu bhana sasa hivi kidijitali sio huko tu kuna mapinduzi makubwa sana yamefanyika kwenye hii sekta we acha tu


Nanyoosha mikono.....

Kumbe kila kinachofanyika ndiyo chaguo lenu lililo bora? Sikujukua aisee,.... may be kwa sababu ya kufikiria ki-1947!

Poleni na kila la heri katika maumivu na kuumizana!!
 
Nanyoosha mikono.....

Kumbe kila kinachofanyika ndiyo chaguo lenu lililo bora? Sikujukua aisee,.... may be kwa sababu ya kufikiria ki-1947!

Poleni na kila la heri katika maumivu na kuumizana!!

Hahahahaa babu kwa hiyo huu udijitali kumbe ndo unatuumiza ngoja bas tutawalea wanetu kianalojia ili wasiumizane kama sisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom