Nitawapa zote mbili...maana ukiwa na akili mbili basi hushindwi kufika uendako. Na ukiwa na akili moja ndiyo hiyo shida...umekutana na jam..muda unakwenda, wew unauweka usiku...utakapokuja kustuka..huo wakati sio wako tena. Unabaki na majuto ni mjukuu. Matokeo yake sasa hasara zoote unazitafutia kanisa ukaombewe. Utatembea makanisa yoote...udipate nafuu...kumbe shida ni kuwa na akili ya pili ili usolve hiyo hesabu. UKIELEWA TU...Msongo hakuna, unyonge hakuna, tutakwenda kwa usawa, utu na haki. UTAKOSAJE HESHIMA HAPO??? Nisikilize mm, niulize mm, nieleze mm, nikosoe mm, nielimishe mm, niongoze mm ikiwa umejaaliwa hekima. HIVI VIPENGELE VYA KUJIKUBALI...Halafu una-serebukaa, serebukaa, utaweza pendwa teenaa! serebukaa, serebukaa utaweza pendwa teena. Jipe ujasiri mdada, usijivute vute...njoo uni- PM...nikupe neno. Ningependa ma-she wote watembee vifua mbele kwa maringo ya kike kudhihirisha ustawi mzuri wa afya ya mwili na akili na uhuru kamili. Hima, amkeni sasa na muwaamshe na wenzenu. VINGINEVYO DUNIA YA WANAWAKE IKO VULULU VULULU. IMEVURUGWA. Ondoa iyo soni iso faida...njoo.