Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

Binafsi kwa huu uzi wako,bila kujali tofauti zetu...ningependa wewe ulokwisha tendwa na kususa maluvidav...nikualike, one day niko free tu meet, tupige story kirafiki kwa uwazi na mifano ya visa halisi...UTAJIONEA TOFAUTI ya yalokukuta wew na yalomkuta mwenzako...utapata nguvu ya kufurahia maisha na usiyapate maumivu tena ya mapenz ilhali utakuwa mapenzini.

Wapendwa dada xangu, nawapenda zaidi kiliko vile niwezavyo kuwachukia kwa habari ya kuhusiana/ kupendana...ila huwa nackukia sana pale namkuta mdada analia na kukonda kisa amehujumiwa na mpenz wake. Mara kadhaa nimewareshea furaha wadada wa ivo baada ya kupata zao kesi(luv). NJOONI TUZUNGUMZE KIRAFIKI. Kuandika hivi ni sawa ila si sawa na kukutana na kuongea. WAWEZA KUJA NA RAFK YAKO...TUONGEE..TUBORESHE. Tufurahie maisha.

WANAUME PIA WANATENDWA KAMA WANAWAKE...sema ma-men wana rrrooho za mawe. Wakilia, machozi yao yanageuka jasho. Mm mwenyewe nina vissa kibao..live...vya kusisimua mno..hata naweza kuandika riwaya. ILA SASA NIMEELEWA. Njoo na wew ulochukia mapnz tuongee, uelewe. KARIBUNI SANA.
 
Inauma kwanini wakati umetoa kwa moyo mkunjufu...mkuu

unagoa ukijua kwamba hamuez achaza ukiachwa sasa weeeee
jamani achen
mi nakwambia saa ingine nasemago ule ni mlango wa moyo
ukifungua tu lile jicho moja likachungulia basi imekula kwako
 
Binafsi kwa huu uzi wako,bila kujali tofauti zetu...ningependa wewe ulokwisha tendwa na kususa maluvidav...nikualike, one day niko free tu meet, tupige story kirafiki kwa uwazi na mifano ya visa halisi...UTAJIONEA TOFAUTI ya yalokukuta wew na yalomkuta mwenzako...utapata nguvu ya kufurahia maisha na usiyapate maumivu tena ya mapenz ilhali utakuwa mapenzini.

Wapendwa dada xangu, nawapenda zaidi kiliko vile niwezavyo kuwachukia kwa habari ya kuhusiana/ kupendana...ila huwa nackukia sana pale namkuta mdada analia na kukonda kisa amehujumiwa na mpenz wake. Mara kadhaa nimewareshea furaha wadada wa ivo baada ya kupata zao kesi(luv). NJOONI TUZUNGUMZE KIRAFIKI. Kuandika hivi ni sawa ila si sawa na kukutana na kuongea. WAWEZA KUJA NA RAFK YAKO...TUONGEE..TUBORESHE. Tufurahie maisha.

WANAUME PIA WANATENDWA KAMA WANAWAKE...sema ma-men wana rrrooho za mawe. Wakilia, machozi yao yanageuka jasho. Mm mwenyewe nina vissa kibao..live...vya kusisimua mno..hata naweza kuandika riwaya. ILA SASA NIMEELEWA. Njoo na wew ulochukia mapnz tuongee, uelewe. KARIBUNI SANA.
mkuu sijakuelewa wewe unawapa ushauri nasaha ama
je kuna fee
 
Huo ni udhaifu na kama we ni dhaifu utakufa dhaifu hakuna anayeweza kuja kukubadilisha labda uamue kuwa single for the rest of your life.
Hii ni dunia ya watemi katika kila nyanja....refer Darwin theory of natural selection... Survival of the fittest...only strong survive.
Wanawake wengi wako weak sana ndio maana wanalialia kila siku the don't know wat they want and what they want is not yet created
Lakini wapo pia wanaume ambao ni wadhaifu pia kama wanawake they have no room in this world of love.
Na huo ndio ukweli jichunguze.
 
leo umeongea kwa nidhamu ya hali ya juu nikajiuliza kulikoni kumbe kesho j3 kwa hiyo leo lock ipo

umeeleza vyema sana wengi hawajui nini wanataka
 
Ni free of chance. Maadamu nikiusoma muda wangu wa bure....tunaogea kirafiki tuu..kwa faida ya maisha na tiba ya nafsi. BUURE. Nojoo kwa rafiki, tunaongea kirafiki bila ghiliba...ukitoka apo ni imani yangu utakuwa ume-improove much. Tutakutana tena kadri tutakavojaaliwa time.

Sina shaka nimekujibu vema mdada. SINA MSONGO....NAWAKARIBISHA TENA..KARIBU TUONGEE. UTAPONA HAKIKA.
 
appuch hii kitu nzuri ni vyema kusaidia watu
ila nadhani usaidie watu waweze kutengeneza urafiki zaidi kuliko mapenzi

watu wengi ukiwa Nae karibu tu basi hutaka muwe wapenzi bila kujali mko karibu kwa kias gan na muda gaj
 
kuna mmoja niliona sitaki nimpotezee muda baada ya kuona hatuendani..

nikamwambia tuachane ili kila mtu akaanze maisha mapya (tulikua hatujawahi sex)..

nilichoshangaa aliniomba japo tusex mara 1 ndipo tuachane..lol..

ama kweli watu wanatofautiona..

mi naliaga kama nilimpa papuchi lakini kama sikumpa
HATA AANDIKE GAZETI NAMUONA ---- tu
kwani shingapi.......

sililiii mtu hata sekunde labda tu NIMEMPA PAPUCHI

Haaa ukimpa papuchi ndio unalia???mimi nisipotoa nalia ila nikitoa ata uniache kwa tarumbeta powa tu
 
Kwa experience yangu,watu wengi wanaoumia katika mapenzi,coz wanalazimisha mapenzi kwa watu wasiowapenda,halafu akiachwa analalamika katendwa wakati yeye ndio alikuwa analazimisha mapenzi,unatakiwa ujue"birds with the same colour fly together"tafuta unaefanana nae ndo umpende,sio kulazimisha mapenzi,kitu kingine"its better to be single than to be in unhealthy relationship",na tatizo LA siku hizi watu wanaishi kimaslahi sana na mbaya zaidi hata katika mapenzi,,hasa wanawake wasiku hizi sifa ya kwanza ya mwanaume kwao ni utajiri,wanasahau pesa zinatafutwa2 hakuna MTU aliyezaliwa na kitu,wanawake wanaopenda wanaume coz ya pesa nawaita weak woman,strong woman anapenda aanze na mwanaume kutafuta maisha pamoja sio amkute na kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom