Majembe yakutana kwa pilato....................!!!! !!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majembe yakutana kwa pilato....................!!!! !!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DullyJr, Jun 8, 2012.

 1. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,042
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  Mafisango uso kwa uso na kanumba.........!!!!!

  KANUMBA: karibu jembeee,shwari?

  MAFISANGO:huko duniani si shwari,watu wanagombania mali zako.

  KANUMBA: Mungu wangu! Na lile v8 langu limepona kweli?

  MAFISANGO: yani ungejua bora ungeliuza mwenyewe,maana yake hilo ndo chanzo cha ugomvi kati ya baba na mama yako.

  KANUMBA: vipi kuhusu dada yangu Lulu? Ametoka jela?

  MAFISANGO: hahahahahahahahaaaaaaaaahahahahaha Lulu alikuwa dada yako au demu wako..!!!!!!!!!? Yaani mpaka huku unaniongopea!! Kweli wewe msanii........

  KANUMBA: ushaniuzi kama vipi nenda uwanjani ukale tiz tuna mechi juma5 na malaika wa adhabu.
   
 2. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ivi kwan kanumba alkua anajua lulu kapelekwa jela,au mmbea gan keshampelekea
   
 3. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,042
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 180
  kuna pipo zilodanj cku mbili baada ya jamaa kudondosha
   
 4. S

  Senator p JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanumba;Wema vp ameisha achana diamond?

  Mafsango;yaonekana alikufksha,mbona ant ujamuulizia?eeh isha achana ila mwiny ile ya machoz ndie anamega.

  Kanumba;Aachaa weee!

  Mafisango;kweli,tena piga pete dolen kwa wema na kutomboloka.
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh! Uliyeanzisha uzi ndo umetoka huko nini?
   
 6. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  dah media za huko zimemjuza
   
 7. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo sina hata la kuongezea
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh, hiyo mechi zidi ya malaika wa moto ngumu sana.
   
Loading...