Mafisango uso kwa uso na Kanumba

Status
Not open for further replies.

mwitaz

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
315
93
Mafisango uso kwa uso na
kanumba
kanumba: vipi
jembe? Shwari huko?

Mafisango: huko sio shwari
jembe, watu wanagombea
mali zako vibaya

kanumba: vipi lile v8 langu?

Mafisango:hilo ndo chanzo
cha ugomvi wa baba na
mama yako

kanumba: Dah!
Na dada yangu lulu je
anaendeleaje?

Mafisango:Yani we kweli ni
msanii yani mpaka huku
unanidanganya lulu ni dada
yako?

Kanumba:
ushaniudhi sasa nenda tu
uwanjani jumatano tuna mechi na malaika wa
adhabu.
 
Sielewi kama upo sahihi au haupo,ingawa percent ya kutokuwa sahihi ni kubwa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom