MAJEMBE: Mnadi aliyenadi wengi, naye anadiwa!

MAJEMBE: Mnadi aliyenadi wengi, naye anadiwa!

Natamani kujua ni gari ya kampuni gani,maana kuna gari ya kampuni ninayofanyia kazi waliikamata pale Kibaha wakaiharibu sana kwa kua hawana uzoefu wa kuvuta malori,mdosi akawasusia gari kisha akawapeleka mahakamani,akasema anataka aifilisi hiyo kampuni maana inanyanyasa watu sana.Niko safarini natamani nijue
Unaongelea ile Scania ya VIGU nn?

Duc in Altum
 
Faini ya tsh.milioni 300 ndo ifanye wapige mnada office zao za mwenge and everything within a compound?mimi ni valuer na ninaifahamu ofisi yao na asset zote zilizopo pale,,,ts either busara haijatumika kwny court utekelezaji wa hukumu au mahakama iliamua kuwakomoa hawa majembe,,kuna haja ya mahakama zetu kuunda organ ya "judgement enforcement" ili hukumu ziwe zinatekelezwa in a fair way kwa pande zote mbili(simtetei majembe n co. n kwa upande mwingine nimefurahi kwa karma hii iliyowakuta,naongelea mechanism ya kuenforce hukumu kiujuma in tz)
Tujaribu kupunguza "vacuum" unahisi aliyetakiwa kuwa na busara kwanza ni nani? Tupinguze dharau na ubabe husio na tija. Kila mbabe nayeye anambabe wake.
 
hawa jamaa sina hamu nao. wacha yawakute....wakishirikiana na TRA walininyanyasa sana kwenye biashara.
 
Huyu Seth Motto! Mpuuzi katika wapuuzi wote, Pamoja na kufahamiana vizuri toka zama hizo lakini alitaka kunifanyia uhuni wa kunidhulumu Hiace yangu 2005,Nashukuru Mungu aliingilia kati. Seth Hafai hata kwa kulumangia!!!
 
Bomoa bomoa ya nyumba za Mwenge, Bunju, Mbezi na Mkwajuni Kinondoni, majembe ndio walifanya kazi hiyo, vilio vya watoto, wanawake, wazee na wote walioathirika, mafuriko ya machozi yao, yameleta maafa makubwa majembe.
 
Walinikamata breweries arusha na canter yangu nilikoma!mpaka mzambarauni yard wakanipeleka na jamaa alienikamata alisema tutamalizana wenyewe kwa wenyewe yani kwa kifupi alifinigeuza mtoto mdogo...wakanilipisha na mapato wakati gari yangu ni private sijawahi lipa nina zaidi ya 10 yrs.hako kajamaa kalikonikamata kanaitwa jitendra yani nina hamu naeeeeee

Asante nao wameoshwa.
 
Hata mimi Inanipa shida kimahesabu. Deni la million 5 kuwa million 300 ndani ya miaka minne? Hata kama kuna riba kubwa, hesabu hizo zipo juu mno!
Labda deni na riba vilikuwa katika dola. Si unajua tena shilingi yetu imeshuka thamani.
So ukiconvert hizo hela kwa hela ya madafu kwa exchange rate ya sasa inakuwa ni sheedah!
 
Hamna hata mwenye kapicha ka video tujionee show maana jamaa walikuwa wanatunyanyasa saana hata kukagua motor vehicle licence unajikuta unawakwepa traffic kwakuwa wanaonekana ghafla kwenye taa unakutana na vilaza wa majembe hasa taa za pale tazara
 
Halafu hawa jamaa mbona kama ''dugu moja''. Kina Yono Kevela na kina Mwamoto. Wote wa Ku-Iringa.
 
Faini ya tsh.milioni 300 ndo ifanye wapige mnada office zao za mwenge and everything within a compound?mimi ni valuer na ninaifahamu ofisi yao na asset zote zilizopo pale,,,ts either busara haijatumika kwny court utekelezaji wa hukumu au mahakama iliamua kuwakomoa hawa majembe,,kuna haja ya mahakama zetu kuunda organ ya "judgement enforcement" ili hukumu ziwe zinatekelezwa in a fair way kwa pande zote mbili(simtetei majembe n co. n kwa upande mwingine nimefurahi kwa karma hii iliyowakuta,naongelea mechanism ya kuenforce hukumu kiujuma in tz)
isuangalie hayo magari ya watu yaliyokamatwa pale yard ya mwenge.yale hayahesabiki ni kale kamjengo na vviduka vilivyozunguka ndivyo vilivyothaminishwa na bado havifiki 300m
mm nolishafika hapo ofisini kwao kutokeaofisi ya hapa Dodoma ambapo wamepanga kachumba CCM MKOA
kwa kifupi maCortbroker hao ni matapeli huku tunawaweka Jela kila siku kina Seth ni dhuluma imewajaa kwa mali za watu
ACHA MUNGU AITWE MUNGU
 
Brokers wengi wameajiri watu wasio na ethics za kazi. Wanafanya mambo mengi kinyume na taratibu kwenye namna wanavyotekeleza majukumu yao. Sishangai. Wanavuna wanayopanda
 
Ile minada ya TRA mara nyingi wanagawana mali pale...iwe magari au vitu vingine. Majembe wala sishangai kutumbukia huko. Wanatakiwa kufuatiliwa kwa karibu
 
Last edited:
Back
Top Bottom