ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
MAJEMBE YAVAMIWA - YouTubeSijaiona hiyo taarifa
MAJEMBE YAVAMIWA - YouTubeSijaiona hiyo taarifa
Dah,Natamani kujua ni gari ya kampuni gani,maana kuna gari ya kampuni ninayofanyia kazi waliikamata pale Kibaha wakaiharibu sana kwa kua hawana uzoefu wa kuvuta malori,mdosi akawasusia gari kisha akawapeleka mahakamani,akasema anataka aifilisi hiyo kampuni maana inanyanyasa watu sana.Niko safarini natamani nijue
Majembe amekua akifanya kaz na poliso,leo wanasema hawana iman na jesh la polisi maisha yao yote
Ha ha ha haaaaaaaawhat goes around comes around.
Malipo ni hapa hapa duniani
ushuzi dawa yake mate mtu akijamba wewe tema mate tu
Jamaa ni mpiga dili kakutana na mtoto wa mjini aliyemzidi maarifa,hii nchi awamu ya nne iliiaribu watu walikua wanajipatia hata visivyo stahili vyao.
hata mi nimefurahi,walikamata pikipiki yangu wakadai ten kila siku kwa siku tatu wakala 30.sina hamu nao kabisaDuuuh kweli muosha huosha nimekubali. Jamaa waliwahi kamata dala dala yangu wakaninyanyasa sana kwa vile nilikuwa bd underground then wakaisweka gari humo ndani na faini kila ikilala ni bk 13 kwa siku. Daaah kweli maisha yanabadilika kwa kasi sana
Hata mimi Inanipa shida kimahesabu. Deni la million 5 kuwa million 300 ndani ya miaka minne? Hata kama kuna riba kubwa, hesabu hizo zipo juu mno!
alaf = Halafusafi sanaa! awajamaa wanakera sana alaf wasumbufu mnoo!
Gari za kwanza Mbili za Vigu ni Scania. Na moja ilikamatwa na Majembe meneneo ya kibaha ikiwa imeharibika njiana wakawa na mgogoro mkubwa sana mwanzoni mwa mwaka2014.Vigu hana na hajawai kuwa ma SCANIA.Pale ni mwendo wa MERCEDES BENZ (actros,axor)na MAN.
Vigu zipo,na hata waliyoikamata pale Kibaha ni Scania 124Gari za kwanza Mbili za Vigu ni Scania. Na moja ilikamatwa na Majembe meneneo ya kibaha ikiwa imeharibika njiana wakawa na mgogoro mkubwa sana mwanzoni mwa mwaka2014.
Duc in Altum