MAJEMBE: Mnadi aliyenadi wengi, naye anadiwa!

MAJEMBE: Mnadi aliyenadi wengi, naye anadiwa!

MUNGU ni mkubwa sana, hawa Makembe walinikamata Pugu road maeneo ya Toyota asubuhi nimepark Wrong site wakanipeleka Yard Keko sina hata hela ya mafuta ya kurudi Bara.
Ilinibidi niwaite wasamaria wema wanichangie 50,000/
Niliachiwa na sikutamani tena kwenda Dar na Gari kwani Majembe ya Mamoto haina hata chembe ya huruma.
Na hii kesi nilishaisikia sana huku Dodoma kuwa kuna mbabe kawazilia gari deni limeshakuwa kubwa wanatakiwa wafilisiwe
Kweli awamu ya 5 tutasikia mengi na hasa Sheria kufuata Mkondo
ni kweli Deni la 5m kwa miaka mitano linaweza fikia kiasi hicho kwani kuna ile Riba iitwayo Accumulative Principal na maadhabu mengine pamoja na gharama za Kesi
 
imerushwa EATV kwenye Hotmix jioni,jamaa wamelalamika
utadhani hawajawahi kulalamikiwa na wanaowafanyiaga unyama wa namna hiyo,
 


Hawa Jamaa sijawahi pata kisanga nao ila Wale Mwakalinga ndio nina hasira nao sana Washabeba Daladala langu twice kisa limeharibika kupaki pembeni nikalipishwa laki mbili na 80 pamoja na breakdown twice walishakula laki zangu tano na ushee hizi kampuni zife kabisa kudadeki zao
 
MUNGU ni mkubwa sana
hawa Makembe walinikamata Pugu road maeneo ya Toyota asubuhi nimepark Wrong site wakanipeleka Yard Keko sina hata hela ya mafuta ya kurudi Bara.
Ilinibidi niwaite wasamaria wema wanichangie 50,000/
Niliachiwa na sikutamani tena kwenda Dar na Gari kwani Majembe ya Mamoto haina hata chembe ya huruma.
Na hii kesi nilishaisikia sana huku Dodoma kuwa kuna mbabe kawazilia gari deni limeshakuwa kubwa wanatakiwa wafilisiwe
Kweli awamu ya 5 tutasikia mengi na hasa Sheria kufuata Mkondo
ni kweli Deni la 5m kwa miaka mitano linaweza fikia kiasi hicho kwani kuna ile Riba iitwayo Accumulative Principal na maadhabu mengine pamoja na gharama za Kesi
Kuna siku mitaa ya avalon sinema nilikuwa nataka nipark kimazabe kumbe jamaa walikuwa anga zile wakiwa wametegesha kimaksudi kabisa ile sehemu mtu apark ili wamkamate,ila nataka kuingia wakakurupuka na defender lao na kunipiga pin eti niko kwenye wrong parking,wakati,palichimbika na hawakuipeleka gari kokote na hata sumni yangu hawakuramba ibilisi wale
 
Faini ya tsh.milioni 300 ndo ifanye wapige mnada office zao za mwenge and everything within a compound?mimi ni valuer na ninaifahamu ofisi yao na asset zote zilizopo pale,,,ts either busara haijatumika kwny court utekelezaji wa hukumu au mahakama iliamua kuwakomoa hawa majembe,,kuna haja ya mahakama zetu kuunda organ ya "judgement enforcement" ili hukumu ziwe zinatekelezwa in a fair way kwa pande zote mbili(simtetei majembe n co. n kwa upande mwingine nimefurahi kwa karma hii iliyowakuta,naongelea mechanism ya kuenforce hukumu kiujuma in tz)
 
Walijipatia umaarufu sana wa kufilisi watu sasa wacha nao wapate u maarufu wa kufilisiwa.
 
Mnao uliza deni limefikaje ni rahisi, kwa gari za biashara kama malori makubwa, mtu mwenye tenda zake, ama shughuli zake binafsi(mfano Azam) , gari husika inaweza ingiza 1m ama kumpatia tajiri unafuu wa 1m kwa siku akilitumia, kwa hiyo kwa mwezi mmoja atakua na wastani wa 30m,weka riba 25% itakuja kukupa jumla ya mwezi ukizidisha kwa kipindi cha miaka 8 inakuja 300m bila tatizo
 
Nna jamaa yangu gari yake iligongwa na gari 2 tofauti katika ajali moja na zote zina "third party", traffic case ikaendelea mahakamani hukumu ikatolewa na insuarance wakapewa barua za kumlipa, wakaanza kulumbana wenyewe(insuarance) nani alisababisha damage kubwa ndio amlipe, miaka ikaenda na sasa ni mwaka wa 7,kesi ikarudi mahakamani, huku mpya wanatakiwa walipe kwa kushirikiana sio chini ya 100m
 
Hata mimi Inanipa shida kimahesabu. Deni la million 5 kuwa million 300 ndani ya miaka minne? Hata kama kuna riba kubwa, hesabu hizo zipo juu mno!
It is possible mkuu, riba za kimahakama nyingi ni per day. Hivyo inaweza kuwa rate ilikuwa ndogo ila ukipiga 365 days x miaka 8 inafika mbali.
 
Nina chojua hii kampuni ni ya urithi hivyo kuna hivyo kuna mtu anaiendesha kwa niaba ya familia na ukoo mzima wa mwamoto huyu bwana anaye iendesha kwa sasa anaitwa setti mwamoto kama sijakosea ila wana undugu na yule mbunge wa kilolo mr mwamoto
 
Back
Top Bottom