Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .

Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .

Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .

Godbless J Lema

Tunahitaji viongozi kama wewe wanaowajali wapiga kura wao. Ingekuwa yule Meya wa Ilala angesema kwani angekuwepo angezuia bomu kulipuka?

Tiba
 
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.

Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?

Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.

Naona leo unasema kiuchungu sana na kihisia kabisa.

Hajui kuwa hata walotufikisha hapa leo ambao mwanzo tuliwona hawakosei wala haipaswi kuwakosoa badali yake leo yamegeuka...!?

Hivyo asikiharibu chama kwa kudhani wananchi bado hawajatambua nini chaendelea....!
 
Ifweer ya ww una Fir.........wa sasa hata nikikupa dada na ww unafir...wa si atakuchomeka vidole huko nyuma!!
Kamanda kulikoni tena unaanza kuporomosha matusi, pambaneni kwa hoja.
 
Tuko pamoja Mbunge wetu Godbless Lema. Uwepo wako ni faraja kwetu tuliojeruhiwa moyoni na wenzetu waliojeruhiwa miili.

May God bless you!
 
Kuna watu kama Big Show vichwa vyao vimejaa matope tuu.
Ni majanga mangapi hii nchi imepata chini ya uongozi wa Kikwete? Mtwara wangapi wamekufa?,Meli ngapi zimezama na kuua wengi?
Kikwete si ana madigree mpaka anaitwa daktari?
Jifunze maana ya demokrasia ya vyama vingi na acha chuki binafsi dhidi ya mh.Lema.
 
Ulitaka aseme nini?

We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.

Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?

Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.
 
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa....
Mkuu, kwani majaribu yapo kwenye siasa tu?
 
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.

Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?

Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.

kama viroba havijaisha kunywa kwanza supu na maji mengi sio kumlisha mtu maneno ambayo hakusema.

HAPO PEKUNDU EBU NIONYESHE HAYO MANENO LEMA KAYAANDIKA WAPI.

CCM NI LAANA
 
Mkuu, kwani majaribu yapo kwenye siasa tu?
Lema anataka kujenga picha yenye mrengo wa kisiasa wakati kuna uhalifu mwingi na wa kila namna!

Aseme tu siku hiz baada ya watu wengi kumgundua kuwa ni Mwanasiasa Uchwara kajifanya kukaa kimya,kumbe bado anaongozwa na hisia zizizokua na Mantiki.
 
Kwani bomu halikulipuka kanisani? Nao ni mlengo wa kisiasa?
 
Pamoja sana mh mbunge. Mungu awajalie majeruhi wote wapone haraka na kurejea katika shughuli zao za kila siku.
 
Arusha chini ya uongozi wako imeshuhudia umwagaji wa damu na vifo vya kipuuz na visivyo tarajiwa kutokana na aina ya siasa unayoifanya wewe kihiyo

Ni wazi sasa wana arusha wamejifunza kutokana na makosa na kutorudia kufanya selection ya mbunge hopless kama wewe

Ni wazi pia arusha ni kambi ya chadema,basi sio lazima wawape CCM no,wampate mbunge mzuri sampuli hata ya tundu lisu

Lakini si sampuli ya hovyo kama wewe,

Arusha ni mji mkuu wa utalii baada ya zanzibar katika nchi hii,lakin sasa ndan ya uongoz wako sekta yote ya utalii imekufa natural death

Fanya fanya uondoke zako,uongozi chini yako ni laana...
the big show I like your picture, now that aside, Arusha has RPC, RC and these are the " wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama' if you ask me, they should be kicked out of Arusha and soon !
 
Arusha chini ya uongozi wako imeshuhudia umwagaji wa damu na vifo vya kipuuz na visivyo tarajiwa kutokana na aina ya siasa unayoifanya wewe kihiyo

Ni wazi sasa wana arusha wamejifunza kutokana na makosa na kutorudia kufanya selection ya mbunge hopless kama wewe

Ni wazi pia arusha ni kambi ya chadema,basi sio lazima wawape CCM no,wampate mbunge mzuri sampuli hata ya tundu lisu

Lakini si sampuli ya hovyo kama wewe,

Arusha ni mji mkuu wa utalii baada ya zanzibar katika nchi hii,lakin sasa ndan ya uongoz wako sekta yote ya utalii imekufa natural death

Fanya fanya uondoke zako,uongozi chini yako ni laana...
Nenda kule kachimbe mitaro ya mabomba ya gesi,ni mbunge gani mnajivunia Mtwara ikiwa mpaka leo mnashi kama ndege,mkoa umehaulika na kugeuzwa shamba la bibi..
 
kama viroba havijaisha kunywa kwanza supu na maji mengi sio kumlisha mtu maneno ambayo hakusema.

HAPO PEKUNDU EBU NIONYESHE HAYO MANENO LEMA KAYAANDIKA WAPI.

CCM NI LAANA
CCM ni zaidi ya Laana, hebu tukae mkao wa kumuangalia TUNDU LISSU
 
Nakupongeza kwa kuacha 300,000 na kwenda kuwajulia hali watu wako.

Bunge limeahirishwa, hakuna malipo,na hawachi kitu huyu bwana, penye pesa huyu ni sawa na Baniyani. lakini si huyu bwana alisema ataondoka kwenye bunge la katiba, imekuwaje mbona anaendelea. Au 300,000 ni tamu sana haiwachiki.
 
Back
Top Bottom