shairi zuri eeeh?
Tatizo wadada wa mujini tumezidi kuendekeza FREE PU.MBU!!!!!!!!!!! Oh! Mie duu namiliki King'asti! Bonge ya sharo! Namuhudumia hakohoi! Mambo ya mwaka 47 hayo!
Mie nimejivua gambaa kabisaa kwa hivi vitoto vya vitrotro! Nimejiweka kwa mtu mzima saivi sitaki stresss kabisaaaa! Usiikiri wahenga walovojisemea UTUUZIMA DAWA! waliropoka au kubwabwaja!!!!!!!!!!
Wale mnaoendekeza FREE P! Kazi kwenu!!!!!!!!!
ahahaaa huu wimbo nimeusikia bwana mi single nabanana mwenyewe mapenzi yamenishinda.sina sharo wala mzee
enjoy est mi acha nikumbatie tu mito hapaMimi siwezi kuishi mwenyewe!!!!!!!!! Hizi ndo best years of my life! Plus it takes 2 to tango! Niishi mwenyewe saivi afu nikifika 40 going 50 nifanyaje?
Kizuri nakula na mwenzangu kama hivi! Ujana maji ya moto fainali uzeeni! Ntahadisia nini?
"I your mom was a very lonely woman! No man was ever good enough for me" (Ni mtazamo tu!)