MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 136
Wadau nina rafiki yangu naishi nae jirani jana ameibiwa simu yake smart phone.
Alikua na demu wake kwa muda sasa jana alikuja kwake kumtembelea. Mwanangu akamuacha demu Ghetto kwenda kumnunulia Chakula simu yake akaiacha kwenye chaji. Aliporudi akakuta demu kasepa na simu akuna tumemsaka kona zote tumemkosa. Ushauri wenu wadau tufanyaje na huyu mshikaji hapajui kwa demu walikutana Tu