Majanga mapya ongezeko mshahara walimu.

Majanga mapya ongezeko mshahara walimu.

Msafwa wa swaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
425
Reaction score
105
Mi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja Tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 KAZI IPO MFUMUKO WA BEI JUU SERIKALI YA CCM WALIMU TUMEKUKOSEA NINI?aaaaaaaaa TANZANIA NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SERIKALI YAKE SIIPENDI SIIPENDI WALIMU TUUNGANE KUKAA KIMYA NI UMAKU!!
 
Poleni walimu,msichoke kudai haki yenu
 
Mi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja Tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 KAZI IPO MFUMUKO WA BEI JUU SERIKALI YA CCM WALIMU TUMEKUKOSEA NINI?aaaaaaaaa TANZANIA NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SERIKALI YAKE SIIPENDI SIIPENDI WALIMU TUUNGANE KUKAA KIMYA NI UMAKU!!
Nimesoma phrase moja humu JF juu ya viongozi wa serikali ya Kenya, nafikiri inaihusu hii serikali yetu pia: KUIBA KURA NI KITU KINGINE NA KUONGOZA NI KITU KINGINE. Come 2015, TUONDOE HAWA MAJANGA
 
Necta wajiandae tena kustandardize matokeo ya kidato cha nne 2013.
 
mi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 kazi ipo mfumuko wa bei juu serikali ya ccm walimu tumekukosea nini?aaaaaaaaa tanzania nakupenda nchi yangu ila serikali yake siipendi siipendi walimu tuungane kukaa kimya ni umaku!!
heri yako wewe umevuta mkwanja, wengine wanasubiria hiyo 43,000/= hadi tarehe 38 julai
 
Pole pole

Namna nzuri ni kubadilisha Uongozi
mwaka 2015 vyama pinzani huenda
nao wakatuletea faraja si hawa tulionao
(ccm)
 
Dawa hapo nikuuza chaki shule za jirani.
 
Ha ha ha ha!!!Tumenyonywa vya kutosha sasa nguvu zangu nazielekeza kujiondoa Chama cha walimu niimalishe mradi wangu wa kufuga kuku....!!!mwalimu mkuu akae mbali nami kunihamasisha kufanya kazi na ngumi zipo!
 
sasa dawa ni mgomo binafsi mana mie nmeongezewa 43000 cwt wamekata sasa kama nouma na iwe nouma,na hawa cwt mafisadi2,:embarrassed1::bored::disapointed:ser.........kali nao
 
Mi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja Tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 KAZI IPO MFUMUKO WA BEI JUU SERIKALI YA CCM WALIMU TUMEKUKOSEA NINI?aaaaaaaaa TANZANIA NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SERIKALI YAKE SIIPENDI SIIPENDI WALIMU TUUNGANE KUKAA KIMYA NI UMAKU!!
kwani sensa lini tena?... kama vipi subiri wakati wa sensa watawapa tisheti na kofia
 
Mi ni mwalimu mkoa wa mbeya,nipo daraja Tgts c1 imeongezeka elfu 43000 hvyo imekuwa 343,000 KAZI IPO MFUMUKO WA BEI JUU SERIKALI YA CCM WALIMU TUMEKUKOSEA NINI?aaaaaaaaa TANZANIA NAKUPENDA NCHI YANGU ILA SERIKALI YAKE SIIPENDI SIIPENDI WALIMU TUUNGANE KUKAA KIMYA NI UMAKU!!

maskini yani ulivyotia huruma,pole sana
 
Nawaonea huruma watoto wa kizazi hiki...watabaki na ujinga mpaka serikali ya ccm itakaposhika adabu!

nani wa kuishikisha adabu serikali ya ccm kama nyie walimu ndo wasimamizi wakuu wa uchaguzi na nyie ndo huwa mnahusika kuiba kura ili kuisaidia ccm irudi madarakani... walimu mkijitambua kazi itakuwa nyepesi... lasivyo tutarudi kule kule na mshahara unaweza ongezeka kwa buku(1000) kila mwaka
 
..nachkia msemo wa ualimu wito karne ya leo.......aghrrrrrrr
 
"Na ikiwezekana mpigwe tu"

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Kama JK aliwaambia wanafunzi wakike wanaobebeshwa mimba ni vieleele vyao na nyie mnaosomea ualimu mnavieleele sana mna umoja wa mabua mkitiwa kiberit tu kwisnei...mnachonga sana no reactio kwanin msijifunze Kenya? since last week payroll zilikua out lakin sio TUCTA wala CWT ambao wameweza kuongea kitu...yani mnatia uluma sinji mnavyolalamika lakini ngoja mkome ili muache kieleele cha kusomea ualimu na mkome...i hop this coming wk Mr Mgaya atanena kitu ila ndo mkome kusomea ualimu
 
Ukumbuke kuwa wewe ukiwa na mama yoyo wako bado unakata viuno ili upate mtoto na unataka awe msomi,sasa kama wote tutasusa ualimu huyo mtoto uliyempata kwa starehe zako na mkeo atafundshwa na nan???THINK CRITICALLY walimu waliokufundsha ww wangesomea vtu vngne ungejua kupost,wote hatuwez kuwa wanajeshi,wanasheria madokta lazma 2gawanyike...!!
 
Yaani kula kwa mama hadi umri huo nio unaona 43,000 inatosha? hebu jaribu kujitegemea hat mwezi mmoja tu kisha utwambie maana ya kiki ulichoandika! Kutumika kubaya!
heri yako wewe umevuta mkwanja, wengine wanasubiria hiyo 43,000/= hadi tarehe 38 julai
 
CWT is a toothless dog cant bite. The best way is to scrap it down and form another trade union which fits
 
Back
Top Bottom