kwapetaka
Member
- Jun 4, 2013
- 68
- 19
Na nyie mmezid kulalamika! Walimu wenzenu wengine hawapendi! Mshahara ni private bwana. We una diploma karne hii unataka mshahara mkubwa?? Shukuru mungu hata kazi unayo. Fanya mipango ukasome sio kila siku kulia lia ovyo kama watoto bwana! Mshahara ni sir yako na uish kulingana na kipato chako! Mbona kuna watu hawana kazi na wanaish! Tatizo unatamani maisha kama ya FULANI ambaye hata shule tu alikuwa anakupita kila siku na kaz yake hata ukipewa hutaweza kufanya! Kama ualimu haulipi nenda uaskar