Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

Labda millioni 4😕

Ndo habari ya mjini sasa kama hatuna police vile watu wanamiliki silaha wanajitamba tu barabarani kwa kufanya lolote wajualo....
simbaya nipo tulipofikishwa hapa...uongozi husika.
 
Billion4 unaziibaje barabarani na kutoweka mana ni bulk kubwa sana labda uje n van au pickup
 
watu wengine mnatafuta hela kwa jasho miaka nenda rudi, wengine wanachukua kiulaini kama hivi - duh
Embu jaribu wewe hapo jirani yako kwenye kiduka cha mangi kachukue , kama unaona ni ulaini.
 
Ishakuwa mchezo sasa, watu wa ndani wanatoa sana michongo

Jiulize kwa nini matukio ya hivi siku zote ni baada ya mtu kutoka benki au karibu na benki
 
It is contrary to reason to carry four thousand million in cash in a normal vehicle without people who are trained to handle cash in transit. NO manyere tel us another one. cheers bye.
 
Bilioni 4 ni pesa mingi sana haiwezekani kucontain kwenye cruza (unless hiyo dfp iwe kubwa zaidi ya nijuavyo) bila kuonekana. Talking frm my experience nimecheza sana na haya makaratasi ya madafu.
Hao majambazi wameweza kupakua huo mzigo na kufanikiwa kuondoka nao na kwa usafiri upi?
Hiyo ni katanga, ntakubaliana na hii scenario mpunga uliokuwa kwenye gari ni kiasi kiduchu na amount kubwa ilipgwa kutoka ilikotoka.
 
Hivi kwa nini watu tunapenda kudanganyana? Wewe Manyerere hizo pesa umezihesabu saa ngapi kujua zilikuwa Billioni nne?

Tiba
 
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.

Gari lilikuwa likitoka mjini. Ikumbukwe kuwa hapa ni jirani na oysterbay police. Pia si mbali na benki walikopora jana asubuhi.

Kwa hakika kila mtu kashangaa hapa. Waliokuwa kwenye dfp wameonekana kuchanganyikiwa. Ukweli utajulikana.

za lukuvi hizo kuhonga kanisa ili wasikubali S3
 
Chukua chako mapema, hatukupata upinzani wakati wa kuchukua chetu. Tupo chimbo muda huu tunagawana chetu, nyie pigeni domo ivoivo.
 
hongera kwa majambazi coz
hao wenye hela wazembe tu!!
4bil bila escot haimake sense duuh!!
 
Bilioni nne?!?!!
Hao Majambazi wameshauaga umasikini..
 
Bilioni 4 ndani ya DFP?

.

HIZI NI ML 80....SASA FANYA MARA 50...
fedha_9623f.jpg
 
Back
Top Bottom