Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

hero herro tanzaniaaaaa hero herro tanzania .....
 
Billion 4 zibebwe kwenye DFP? A big joke! Gari za kubebea fedha zina kazi gani? That is a planned deal, pengine hata hiyo hela haikuwepo, walitaka kuthibitisha tu kuwa ilishaibiwa.
Mkuu hata mimi naamini ni mchezo tu picha halisi ilishachezwa kitambo ila hapo walikuwa wanamalizia kipande cha mwisho.
 
Mkuu hata mimi naamini ni mchezo tu picha halisi ilishachezwa kitambo ila hapo walikuwa wanamalizia kipande cha mwisho.
kweli kabisa police wanajuaga matukio yote yanayotaka kufanywa.....HAROOO FANYENI HIYO KAZI LAKINI ANGARIENI MSIMWAGE DAMU AISE KUMBUKA MKICHUKUA CHETU MTUWEKEE SAWA NYIE....SAWA...polisi hao
 
mwenye chanzo kizuri cha habari ebu aje na habari kamili,hii ni habari ya kusisimua sana 4 billions si hela ndogo ati!
 
ic dereva au someone alilikisha taarifa
ama banker
je ni nani wa kuchukua Polisi? huyo ndiye mwizi
 
Hapo kuna mchongo,haiwezekani pesa zote hizo zipakiwe kwenye dfp bila ulinzi ulio imara na kuridhisha.
 
Huhitaji kuwa prof. kujua kwamba hii story ina kasoro nyingi sana. Bilioni nne wewe Manyere ushawahi kuziona yaani milioni elfu nne. volume yake ni over one cubic meter na uzito wake ni zaidi ya kilo mia. huu mzigo huwezi kukimbia nao kwenye foleni. Pili dfp hawajui benki mpaka watembee na bpesa yote hiyo. Jackton tell us something we don't know. hujatueleza majmbz walikimbilia wapi na usafiri gani. mjbz walikua wangapi na walitumia siaha gani. dfp ilikua mna watu wangapi.
 
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.

Gari lilikuwa likitoka mjini. Ikumbukwe kuwa hapa ni jirani na oysterbay police. Pia si mbali na benki walikopora jana asubuhi.

Kwa hakika kila mtu kashangaa hapa. Waliokuwa kwenye dfp wameonekana kuchanganyikiwa. Ukweli utajulikana.

Nilipita hapi nikaona kioo cha kushoto kimepasuka but sikujua kinachoendelea na kwakuwa nilikuwa nawahi foleni sikutaka hata kufuatilia. dah… saiv ukiwa na pesa kwenye gari ujue umebeba na kifo jiran.
 
hatuko hapa kutishana mkuu, tupo hapa kujuzana mambo yanayotokea kona mbalimbali ndani na nje ya nchi!!

chakiii unaonekana mwoga sana ehhhh....umetishwa kidogo tu kujitetea kwiiingi ha ha ha.....
 
Back
Top Bottom