taffu69
JF-Expert Member
- Feb 26, 2007
- 2,094
- 541
HIZI NI ML 80....SASA FANYA MARA 50...
![]()
Watakuwa wametoka BOT moja kwa moja
HIZI NI ML 80....SASA FANYA MARA 50...
![]()
Billion 4 zibebwe kwenye DFP? A big joke! Gari za kubebea fedha zina kazi gani? That is a planned deal, pengine hata hiyo hela haikuwepo, walitaka kuthibitisha tu kuwa ilishaibiwa.
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.
Gari lilikuwa likitoka mjini. Ikumbukwe kuwa hapa ni jirani na oysterbay police. Pia si mbali na benki walikopora jana asubuhi.
Kwa hakika kila mtu kashangaa hapa. Waliokuwa kwenye dfp wameonekana kuchanganyikiwa. Ukweli utajulikana.
Acha wachukue tu..... Hii nchi kila mtu nachukua chake mappema.... Wao nachukua meno ya tembo wengne chukuen walizokusanya.....
Billion4 unaziibaje barabarani na kutoweka mana ni bulk kubwa sana labda uje n van au pickup
Bilioni 4 ni pesa mingi sana haiwezekani kucontain kwenye cruza (unless hiyo dfp iwe kubwa zaidi ya nijuavyo) bila kuonekana. Talking frm my experience nimecheza sana na haya makaratasi ya madafu.
Hao majambazi wameweza kupakua huo mzigo na kufanikiwa kuondoka nao na kwa usafiri upi?
Hiyo ni katanga, ntakubaliana na hii scenario mpunga uliokuwa kwenye gari ni kiasi kiduchu na amount kubwa ilipgwa kutoka ilikotoka.
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.
Gari lilikuwa likitoka mjini. Ikumbukwe kuwa hapa ni jirani na oysterbay police. Pia si mbali na benki walikopora jana asubuhi.
Kwa hakika kila mtu kashangaa hapa. Waliokuwa kwenye dfp wameonekana kuchanganyikiwa. Ukweli utajulikana.
Mawazo ya kibongo bongo haya. Basi hamna hata umuhimu wa kusema nimeibiwa kwa sababu fedha hazirudi hata ukisema!Huyo mama hajasema mkuu labda tutapata taarifa baadae sana kama amekubali kusema polisi manake hata akisema haisaidii chochote hizo hela haziwezi kurudi.
Bi.mkubwa aliyekuwa kwenye lile gari walioporwa amesema wakati akihojiwa na ITV kuwa baada ya kuvamiwa na kuombwa alete hela,akatoa kitambulisho then akawapa begi lenye mkwanja.