Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

Inawezekana coz huyo mama anaonekana jasiri sana yaani pamoja na kwamba alishasikia miliona mitatu ya risasi bado alipata ujasiri wa kutoa kitambulisho akawapa fuko la hela. Halafu kwa nini hataki kusema kiasi cha hela kinichoibiwa? Hapa kuna ...
 
Mara nyingi wizi ukitokea walioibiwa huwa wanataja kiasi kikubwa zaidi ili waqt wa mgao wezi waumizane kati ya wale waliobeba mzigo na wanaopelekewa/waliochora deal
 
Huhitaji kuwa prof. kujua kwamba hii story ina kasoro nyingi sana. Bilioni nne wewe Manyere ushawahi kuziona yaani milioni elfu nne. volume yake ni over one cubic meter na uzito wake ni zaidi ya kilo mia. huu mzigo huwezi kukimbia nao kwenye foleni. Pili dfp hawajui benki mpaka watembee na bpesa yote hiyo. Jackton tell us something we don't know. hujatueleza majmbz walikimbilia wapi na usafiri gani. mjbz walikua wangapi na walitumia siaha gani. dfp ilikua mna watu wangapi.
labda ilikuwa ni hela ya OMAN, equivalents to 4bn.
 
Inawezekana coz huyo mama anaonekana jasiri sana yaani pamoja na kwamba alishasikia miliona mitatu ya risasi bado alipata ujasiri wa kutoa kitambulisho akawapa fuko la hela. Halafu kwa nini hataki kusema kiasi cha hela kinichoibiwa? Hapa kuna ...

Mkuu ujasiri kiintejensia ni chanzo cha habari, ki ukweli mzigo umepigwa bt wa kwanza kuwa suspect ni mama, akumbuke kitambulisho? Hw kitambulisho kiwe ndani ya mfuko wa pesa? Fikiri kidogo mkuu.. Kumbuka hyo c filamu ooohooooo....
 
Back
Top Bottom