Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

Majambazi yapora mabilioni ya shilingi

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,463
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.

Gari lilikuwa likitoka mjini. Ikumbukwe kuwa hapa ni jirani na oysterbay police. Pia si mbali na benki walikopora jana asubuhi.

Kwa hakika kila mtu kashangaa hapa. Waliokuwa kwenye dfp wameonekana kuchanganyikiwa. Ukweli utajulikana.
 
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.

hii hatari sasa, hao majambazi walikuwa kwenye bodaboda au gari? Gari lililokuwa na fedha lilikuwa linatokea mjini au mwenge?

Sikukuu zinakaribia jamani tuwe makini!!
 
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.

Mkuu mara hii tu watu wameshajua kuwa ni bilioni 4! Dar mibuyu iko mingi !

Kama hizi Pesa ni za Umma kuna sijui .Lakini lazima nyuma yake kuna njama
Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp
na isije kuwa mbinu za EPA mpya.
 
watu wengine mnatafuta hela kwa jasho miaka nenda rudi, wengine wanachukua kiulaini kama hivi - duh
 
Acha wachukue tu..... Hii nchi kila mtu nachukua chake mappema.... Wao nachukua meno ya tembo wengne chukuen walizokusanya.....
 
Nipo hapa mbuyuni, dar. Majambazi yamepora fedha zinazokisiwa kufikia sh bilioni nne. Zilikuwa ktk gari lenye namba za dfp. Foleni ni kubwa sana.

Billion 4 zibebwe kwenye DFP? A big joke! Gari za kubebea fedha zina kazi gani? That is a planned deal, pengine hata hiyo hela haikuwepo, walitaka kuthibitisha tu kuwa ilishaibiwa.
 
Mmh jamani, bilioni 4 kwenye gari mwenye nazo anaenda wapi? Au sio zile zinazopita kwenye system? Au ni za......
 
4billions bila escort ya police? Huku si kujitakia
 
Back
Top Bottom